Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yawajibu Ukawa kuhusu safari za rais

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imekanusha taarifa zilizotolewa na Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa kuwa safari za Rais Jakaya Kikwete nje ya nchi zimegharimu Shilingi trilioni 4 katika kipindi chake cha uongozi wa miaka 10.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Maagizo ya Rais Magufuli kuhusu safari za nje za watendaji wa Serikali yaanza kutekelezwa

Kufuatia maagizo ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa hivi karibuni ya kusitisha safari za nje kwa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imeanza kutekeleza maagizo hayo kwa kutoa maelekezo mahsusi kwa Balozi zake nje.
Wizara imezielekeza Balozi zote zilizopo maeneo mbalimbali duniani kujipanga ili kushiriki kikamilifu katika kuiwakilisha Serikali kwenye mikutano yote ya kimataifa na kikanda...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara K’koo walia, TRA yawajibu

Baadhi ya wafanyabiashara wa mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamelalamikia hali ngumu ya biashara zao tangu Rais John Magufuli aliopoingia madarakani na kasi ya kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi.

 

9 years ago

Michuzi

Taarifa rasmi ya Serikali ya Zanzibar kuhusu vifungu vya sheria juu ya uhalali wa Rais kuendelea kuwepo madarakani

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusu vifungu vya sheria   juu ya uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani Rais wa Zanzibar.Na Othman Khamis Ame, OMPRSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewahakikishia Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwamba Rais aliyepo madarakani hivi sasa ataendelea kushika madaraka ya Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mpaka pale utaratibu wa Kikatiba na Kisheria wa kumpata Rais...

 

10 years ago

Mwananchi

Safari ya Ukawa ilivyoanzia Dodoma

Siku moja kabla ya kuanza kikao cha Bunge Maalumu la Katiba, usiku wa kuamkia Aprili 16, mwaka huu baadhi ya wajumbe walikuwa wameafikiana kugoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Ukawa ni safari ya uhakika

>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk  Willibrod Slaa amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwaka huu, unaingia kwenye uchaguzi ukiwa na safari ya uhakika na siyo ya matumaini kama ilivyotolewa na mmoja wa watangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015

Fukuto la kumpata mgombea wa kiti cha urais kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 kwa tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupamba moto huku ikielezwa kuwa jina la mgombea litatajwa kabla ya Mei mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Urais 2015: Ukawa waanza safari

Wakati CCM ikisubiri Februari kufanya tathmini kuona kama baadhi ya wagombea wake wa urais wametekeleza masharti ya adhabu zao, washindani wao wa Ukawa, Jumanne ijayo watakutana kujadili mambo mbalimbali.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wadai safari za JK zimekula Sh4 trilioni

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umedai Rais Jakaya Kikwete amefanya safari 409 nje ya nchi katika kipindi cha utawala wake, akitumia zaidi ya Sh4 trilioni, fedha ambazo zingeweza kutumika kwa miradi ya maendeleo

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA DHARURA WA VIONGOZI WA NCHI NA SERIKALI WANACHAMA WA SADC KUHUSU UENDELEZAJI VIWANDA, HARARE ZIMBABWE.

AD1 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Hoteli ya Rainbow, jijini Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Viongozi wa Nchi Wanachama wa SDC, uliofunguliwa leo Aprili 29, 2015 na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Jijini unaojadili kuhusu Uendelezaji wa Viwanda. Picha na OMR AD2AD3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake katika Mkutano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani