SGS waanza mgomo usio na kikomo
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya usafirishaji na ukaguzi ya SGS, jana walianza mgomo usio na kikomo, wakishinikiza kupewa haki zao za msingi ikiwemo mikataba ya kudumu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Apr
MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO MBALIMBALI VYA MOTO WAANZA LEO

Muonekano wa abiria wakiwa stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam (Picha na Maktaba).
MADEREVA wa vyombo mbalimbali vya moto, nchi nzima leo asubuhi wamegoma kusafirisha abiria ili kuishinikiza serikali kuondoa kero mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa ajira za uhakika pamoja na agizo la kutaka kwenda kusoma.Awali kabla ya mgomo wa leo, Katibu wa Muungano wa vyama vya madereva Bw. Rashid Saleh, alisema baadhi ya kero zitakazopelekea mgomo wa leo ni pamoja na suala la kurudia kusoma...
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus:Wauguzi wa wagonjwa waliombukizwa virusi vya corona Kenya waanza mgomo baridi
9 years ago
Raia Mwema23 Dec
10 years ago
Habarileo28 Oct
17 kortini kwa mkusanyiko usio halali
POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora imewafikisha mahakamani watu 17 wakishtakiwa kufanya mkusanyiko usio halali karibu na jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ambalo lilikuwa likitumika katika shughuli za kuhesabu kura za uchaguzi mkuu wa majimbo ya Igunga na Manonga.
11 years ago
Mwananchi06 Sep
Usalama gani huu usio salama?
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Wengi washuhudia mwezi usio wa kawaida
11 years ago
Mwananchi04 May
Upendo usio na mrejesho unaua uzalendo
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Ni lini tutakuwa na uchaguzi usio na kasoro tele?
10 years ago
Mtanzania21 Oct
Masha kizimbani kwa mkutano usio halali
Veronica Romwald na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa zamani, Lawrence Masha leo anatarajiwa kufikishwa mahakamani mjini Mpanda mkoani Katavi kwa mashitaka mawili likiwamo la kufanya mkutano na kuingia kwenye kambi ya wakimbizi bila kibali.
Masha ambaye ni wakili wa kujitegemea na ambaye hivi karibuni alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM) anashikiliwa na wenzake sita mkoani Katavi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi,...