Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHABAN KISIGA AJIUNGA NA RUVU SHOOTIG

Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Shaban Kisiga (pichani) amejiunga na klabu ya Maafande wa Ruvu Shooting kwa mkataba wa mwaka mmoja ili kuinusuru kuirejesha ligi kuu.
Kisiga aliondoka Simba baada ya kutokea sintofahamu na uongozi wa klabu hiyo, hasa benchi la ufundi na kuamua kutimkia kusikojulikana.



Akizungumza na Habari Maseto Ofisa habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire alisema, nyota huyo amemwaga wino wa mwaka mmoja, na kutokana na uwezo wake dimbani ndio sababu ya kumnyakua.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Upanuzi mitambo Ruvu Juu, Ruvu Chini waenda kasi

UHABA wa maji kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini unatajwa utakuwa historia kutokana na Serikali kuanza upanuzi wa mitambo hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya DAWASA yatembele Mirani ya Maji Ruvu chini na Ruvu juu leo

Bodi ya Wakurugeni ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) leo Agosti 20,2014 imefanya ziara ya kutembelea Miradi yao ya Maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini ili kujionea maendeleo ya ukarabati wa Miradi hiyo miwili ambayo ilikuwa katika ukarabati.Katika ziara hiyo Bodi hiyo ya DAWASA imeridhishwa na upanuzi wa Mtambo wa Maji wa Ruvu chini ambao kwa sasa umekamilika kabisa huku ukiwa na uhakika wa kutoa maji ujazo wa Lita Milioni 270 kwa siku.Meneja Miradi wa Kampuni ya Megha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: EAMCEF, JKT Ruvu wadhamiria kutunza Mto Ruvu

MAZINGIRA ni suala mtambuka, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuwajibika kuhakikisha dunia inakua mahali salama pa kuishi. Uwajibikaji wetu licha ya kutunza mazingira, naamini utaongeza pia siku za kuishi...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI MKUU ISSA SHABAN BIN SIMBA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga, baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI SHEKHE ISSA SHABAN BIN SIMBA

Pichani Chini: Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa akisalimiana na baadhi ya waombolezaji baada ya swala ya kumsalia Marehemu Mufti Mkuu wa Tanzania Shehe Issa Shabaan Simba iliyofanyika leo Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA). 

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kiemba, Kisiga waitesa Simba

HATIMA ya wachezaji Amri Kiemba, Haruna Chanongo na Shaabani Kisiga wa Simba kujerea dimbani, bado haijulikani, kutokana na kikao baina yao na Rais wa klabu hiyo, Evance Aveva, kushindwa kuzaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Uhuru, Kisiga hakuna kulala

Kutokana na ushindani wa namba katika kikosi cha Simba, viungo wa timu hiyo, Shaaban Kisiga na Uhuru Selemani wamejikuta wakilazimika kufanya mazoezi binafsi baada ya kocha wao, Patrick Phiri kuwapa mapumziko juzi Jumapili.

 

10 years ago

GPL

Kisiga awavaa Okwi, Kiongera

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Shabani Kisiga. Na Sweetbert Lukonge
ZIKIWA bado siku chache ili kuanza kwa michuano ya Ligi Kuu Bara, kiungo mshambuliaji wa Simba, Shabani Kisiga, amewapa somo zito wachezaji wenzake wa timu hiyo, Emmanuel Okwi na Paul Kiongera kwa kuwataka kuachana na utani pindi wanapokuwa uwanjani na badala yake wapambane mwanzo mwisho. Kisiga ambaye amejiunga na Simba hivi karibuni akitokea Mtibwa Sugar,...

 

10 years ago

GPL

Kiemba, Kisiga watimuliwa Simba SC

Mkongwe wa Simba Amri Kiemba. Na Mwandishi Wetu
UNAWEZA kusema kimenuka Simba baada ya uongozi wake kuamua kuwaondoa kambini wachezaji wake watatu wakiwemo wakongwe wawili.Shabani Kisiga na Amri Kiemba wameondolewa kambini Simba mjini Mbeya na kutakiwa kurejea jijini Dar es Salaam wakati timu ikifunga safari hadi Iringa ambako itaweka kambi. Mwingine ambaye ameondolewa kambini ni kinda Haruna Chanongo ambaye ataungana na akina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani