Shahidi: Manyaunyau alivyotutapeli Sh29.6 milioni
>Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia Sh29.6 milioni kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa jadi, Dunia Salumu (37) ‘Manyaunyau’ amedai kuwa walilazimika kuuza kiwanja na nyumba ya urithi kutafuta fedha za kununua mabeberu saba na mafuta ya ngamia ili kumpa mganga huyo kama masharti ya kumfufua ndugu yao aliyefariki dunia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Kesi ya Manyaunyau Desemba 18
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/aqmhJZLv6Zc/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Dk. Manyaunyau miaka 3 jela kwa kushindwa kufufua maiti
NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
MKAZI wa Dar es Salaam, Dunia Salumu maarufu kwa jina la Dk. Manyaunyau, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya Sh milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha Sh milioni 29.6 kwa njia ya udanganyifu.
Manyaunyau anadaiwa kujipatia kiasi hicho cha fedha kutoka kwa mlalamikaji, Tekra Modesta kama malipo ya kazi ya kumfufua marehemu kaka yake aliyefahamika kwa jina moja la Modest ambaye alifariki dunia miaka...
9 years ago
Bongo528 Nov
Manyaunyau jela miaka 3 kwa utapeli, alidai angemfufua marehemu
![scan0006](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/scan0006-300x194.jpg)
Mkazi wa Dar es Salaam, Dunia Salumu maarufu kwa jina la Dk. Manyaunyau, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya Sh milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha Sh milioni 29.6 kwa njia ya udanganyifu.
Manyaunyau anadaiwa kujipatia kiasi hicho cha fedha kutoka kwa mlalamikaji, Tekra Modesta kama malipo ya kazi ya kumfufua marehemu kaka yake aliyefahamika kwa jina moja la Modest ambaye alifariki dunia miaka kadhaa iliyopita.
Akitoa hukumu...
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Shahidi ‘amkaanga’ hakimu mahakamani
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Je,shahidi wa ICC aliyeuawa ni nani?
11 years ago
Michuzi17 Jun
USHAHIDI WA SHAHIDI WA MRAMBA WAFUTWA
MAWAKILI wa utetezi wa Waziri wa Fedha wa zamani, Basil Mramba, wameondoa mahakamani ushahidi wa Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Felician Busigara, baada ya kuzua mvutano kati ya mawakili wa pande zote mbili kwamba ushahidi wa shahidi huo ulikuwa wa kitaalamu na siyo dhidi ya mashitaka yaliyopo mahakamani. Mbali na Mramba, washtakiwa wengine ni Waziri wa Zamani, Nishati na Madini, Daniel Yona na Katibu Mkuu wa Wizara ya...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mramba apunguza shahidi mmoja
WAZIRI wa Fedha wa zamani, Basil Mramba, anayekabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha hasara ya sh bilioni 11.7, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Shahidi aeleza watuhumiwa walivyokamatwa
SHAHIDI wa tatu wa kesi ya wizi wa simu za thamani ya Sh milioni 19.4 inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala kuwa aliwakamata watuhumiwa hao kwa nyakati tofauti.