Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein- Sijawahi kusema sitagombea

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewaonya watu wanaomsema kuwa hatagombea urais mwaka kesho, akieleza kwamba anaheshimu utaratibu wa kupata wagombea katika chama chake, hivyo kamwe watu wengine wasimsemee kuhusu suala hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK SHEIN AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NA KUSEMA ATAENDELEZA KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha Mapinduzi pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Mpira Konde Kisiwani Pemba kuendelea na Kampeni Kisiwani Pemba.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi waliofika katika uwanja wa kunde kuhudhuria mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.wakati akiwasili katika viwanja hivyo vya mpira Konde...

 

10 years ago

Mwananchi

Lembeli: Sitagombea ubunge kupitia CCM

Mbunge wa Kahama, James Lembeli ameiweka njiapanda CCM baada ya kutangaza kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.

 

11 years ago

GPL

LINA: SIJAWAHI KUSAGANA

Stori: Shakoor Jongo MWANDAFADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi kushiriki. Estelina Sanga ‘Linah’. Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi karibuni akasema:…

 

11 years ago

GPL

NISHA: SIJAWAHI KUCHUKULIWA NA PEDESHEE

SALMA Jabu maarufu kama Nisha, ni mmoja wa waigizaji wanaofanya vizuri katika kiwanda cha filamu Tanzania. Amefanya kazi nyingi zinazomfanya kuwa mmoja wa mastaa wanaoongoza kwa kushiriki katika movie nyingi. Salma Jabu 'Nisha'. Risasi Mchanganyiko lilimtafuta na kufanya naye mahojiano maalum kuhusu mambo mbalimbali yanayohusiana na sanaa yake.
Risasi: Mambo vipi Nisha?
Nisha: Poa kabisa, niambie Risasi: Unaizungumziaje...

 

10 years ago

GPL

JULIETH: JAMANI SIJAWAHI KUZAA

Stori: Gladness Mallya AKANUSHA! Baada ya tetesi kuzagaa kuwa aliyekuwa Miss Progress International, Julieth William kuwa ana mtoto mchanga, mwenyewe ameibuka na kufunguka kwamba habari hizo ni za kizushi. Miss Progress International, Julieth William. Akipiga stori na paparazi wetu, Julieth alisema anashangazwa na maneno hayo ya watu kwamba ana mtoto wakati hajawahi kuzaa hivyo anaumizwa sana na tetesi hizo.… ...

 

9 years ago

Habarileo

JK: Sijawahi kusamehe kodi makontena

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema katika uongozi wake wa miaka 10, hakuwahi kuagiza mtu asamehewe kontena lake lisilipe kodi na angefanya hivyo, mapato ya Serikali yasingeongezeka kutoka Sh bilioni 177 kwa mwezi mpaka Sh bilioni 900.

 

11 years ago

GPL

MBOTO: SIJAWAHI KUTOKA NA MSANII

MKALI wa komedi Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ amesema hajawahi kutoka kimapenzi na msanii mwenzake na hana mpango wa kufanya hivyo. Mkali wa komedi Bongo, Haji Salum ‘Mboto’. Akistorisha na Stori Mix, Mboto alisema: “Ni nadhiri niliyojiwekea tangu naanza fani hii. Kamwe siwezi kutoka na msanii mwenzangu. Unajua unapofanya kazi na mtu, anakuwa kama ndugu yako, isitoshe utakapoingiza tu mambo ya...

 

11 years ago

GPL

SIJAWAHI KULALA NA TINY - MAYWEATHER

Picha inayodaiwa kuleta kizaazaa. Bondia Floyd Mayweather akifunguka katika mahojiano na necolebitchie.com.
BONDIA Floyd Mayweather amefunguka kuwa hajawahi kulala na mpenzi wa rappa T.I aitwaye Tiny. Mayweather ameyasema hayo ikiwa ni siku chache tangu ugomvi kati ya kundi lake na T.I utokee kisa kikitajwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi kati ya bondia huyo na Tiny. Katika mahojiano na mtandao wa necolebitchie.com, Floyd...

 

11 years ago

Habarileo

Zitto: Sijawahi kuwa Ukawa

Zitto KabweMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) amesisitiza hajawahi kuwa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wala kundi lolote ndani ya Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa, yuko kwenye linalotaka maridhiano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani