Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shilole kuzindua msimu mpya MKASI TV Jumatatu hii

Msanii Shilole Kiuno alimaarufu kama Shishi Baby amepata bahati ya kuzindua msimu mpya wa kipindi cha Mkasi TV ambacho kinarushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa tatu na nusu usiku kupitia Televisheni namba moja kwa vijana EATV.

Mkasi TV inarejea tena kwa kasi kubwa baada ya kufanyiwa mabadiliko na kuboreshwa zaidi ili kuleta hamasa na kuzidi kuwahamasisha watazamaji kuendelea kuwa katika familia hiyo inayokuwa kila siku, muonekano mpya wa mkasi TV hautafanana na ule wa awali.

Shilole...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATEMBELEA MASHAMBA NA KUZINDUA MSIMU MPYA WA KARAFUU PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizindua ununuzi wa karafuu kwa msimu wa mwaka 2014-2015 katika kituo cha ZSTC Mkoani Pemba,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda  na Masoko Nassor Ahmed Mazrui ,zoezi hilo lilifanyika leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia zao la karafuu alipotembelea katika shamba la Bw.Said Sinani  (hayupo pichani) Shumbageni Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum.Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII METTY KUZINDUA WIMBO WAKE MPYA "NAJUA" JUMATANO HII

Wmbo mpya ya msanii Metty iitwayo "Najua" inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 Octoba siku ya jumatano ya wiki hii katika vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya Tanzania.

Wimbo huo amashirikishwa msanii Conrad anaekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa bongo flava ikiwa wapenzi wengi wa muziki wa kizazi kipya watapata nafasi ya kumfahamu msanii huyo.Najua ni wimbo uliotayarishwa katika studio mpya za kisasa Centric Records chini ya producer Eng.Davy Machords.

Metty amewaomba wadau na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kwenye Mkasi leo Jumatatu …. Tutakuwa na ‪#‎RoseNdauka‬!

12274604_920028724743719_3267603356603197535_n

Rose Ndauka katika ubora wake wakati wa utayarishaji wa kipindi cha Mkasi kinachotarajiwa kurushwa Jumatatu hii ya Novemba 23.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Msanii wa Filamu za kibongo, Rose Ndauka, anatarajia kufunguka mambo mbalimbali katika kipindi cha luninga cha kila wiki cha Mkasi. Kwa mujibu wa mtandao wa kijamii wa kipindi hicho cha Mkasi umetupia picha cha star huyo wa Bongo na kueleza kuwa naye siku hiyo ya Jumatatu.

Kipindi hicho bora kabisa ndani ya Afrika Mashariki na kujizolea...

 

10 years ago

Bongo5

Adam Mchomvu kuzindua video yake mpya Jumapili hii Club Bilz

Mtangazaji mahiri wa kipindi cha XXL na Bongo Flava vya Clouds FM ambaye pia ni rapper, Adam Mchomvu atazindua video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Tiririka’ Jumapili hii. Uzinduzi huo utafanyika kama sehemu ya tamasha la ‘Vitu Fulani Amazing’ Club Bilz zamani Billicanas jijini Dar. Mchomvu atasindikizwa na wasanii kibao wakiwemo Joh Makini, Nick wa […]

 

11 years ago

Dewji Blog

UN kuzindua mfumo mpya wa kuhabarisha umma ndani ya tamasha la ZIFF 2014 jioni hii

un1

Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa nchini. Taarifa hiyo imo katika documentary (taarifa ambayo iko katika mfumo wa video) ya dakika saba  inayoonyesha kazi mbalimbali Umoja wa Mataifa nchi  itazinduliwa leo kwenye ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kutumia mitandao ya kijamii...

 

11 years ago

GPL

UN KUZINDUA MFUMO MPYA WA KUHABARISHA UMMA NDANI YA TAMASHA LA ZIFF 2014 JIONI HII‏

Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa nchini. Taarifa hiyo imo katika documentary (taarifa ambayo iko katika mfumo wa video) ya dakika saba inayoonyesha kazi mbalimbali Umoja wa Mataifa nchi itazinduliwa leo kwenye ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni katika...

 

10 years ago

Vijimambo

RASIMU YA KATIBA MPYA INAYOPENDEKEZWA HII HAPA; CHENGE AIWEKA HADHARANI KUPIGIWA KURA LEO JUMATATU SEPT 29

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Zanzibar, akitafakari wakati rasimu hiyo ikisomwaWasanii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, waliochangia pakubwa haki za wasanii kutambuliwa kwenye katiba inayopendekezwa mmoja wao ni Martha Mlata amaye naye ni msanii wa nyimbo za injiliWaziri MkuuMstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanavikundi waliofika bungeni kusikiliza rasimu ya katiba...

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU MPYA

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) David Crowhorst Akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za kumaliza msimu uliopita na kukaribisha msimu mwingine pamoja na kutoa zawadi kwa wafanyakazi waliotumikia kampuni hizo kwa muda mrefu pamoja na wafanyakazi bora zilizofanyika Kiwandani hapo.Katika Hotuba yake Mkurugenzi Huyo alisema Makampuni hayoyamesaidia Mkoa wa Morogoro kuanza kuinuka kiuchumi kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani