SHILOLE, MCHUMBA’KE WAZICHAPA!

Lile penzi lililopata ‘promo’ ya kutosha ndani ya muda mfupi kati ya mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na Nuh Mziwanda limeingia shubiri baada ya juzikati wawili hao kuzichapa. Kisa cha wawili hao kuzibuana kinadaiwa ni baada ya Nuh kukuta sms tata ya mwanaume kwenye simu ya Shilole ambapo inadaiwa baada ya jamaa huyo kumtaka mchumba wake huyo ampigie aliyetuma meseji hiyo kukawa na kusuasua. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
11 years ago
GPL
MCHUMBA WA SHILOLE AKATALIWA UKWENI
10 years ago
Vijimambo28 Jan
Shilole Amchapa Kofi Mchumba Wake Nuh Mziwanda

Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko yao lililofanyika Leaders Club, ilishuhudiwa live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na...
10 years ago
Bongo Movies27 Jan
VIJIMAMBO: Shilole Amchapa Kofi Mchumba Wake Nuh Mziwanda
Kwa mijibu wa Gazeti la Marokocho, mwanamziki na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, zuwena Mohammed “Shilole” alimpiga makofi mchuma wake Nuh Mziwanda mbele ya umati wa watu. Gazati la Makolokocho liliripoti kama ifuatavyo;
Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere...
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Shilole na Mchumba Wake Nuh Mziwanda Wachafua Hali ya Hewa Mtandaoni!!
Mwigizaji na mwanamziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yao inayowaonyesha wakiwa watupu.
Nuh Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa instagram na baada ya kuona wengi wanamshabulia aliamua kuibandua. Kwa kiufupi picha hii haina maadili na ukizingatia mwanadada Shilole ni mama na sijui watoto wake watajifunza nini hapa.
Wapo walioona kuwa kitendo...
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini

Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
11 years ago
GPL
MTITU, NIVA WAZICHAPA
10 years ago
GPL
BODABODA WAZICHAPA KAVUKAVU