‘Shivji anatumiwa na CCM’
SIKU moja baada ya gwiji wa sheria nchini, Profesa Issa Shivji, kuishambulia Tume ya Jaji Joseph Warioba akidai pendekezo lao la muundo wa serikali tatu ni la kuvunja muungano, wanasheria;...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-POvVTW6kW08/VZN7vNudyrI/AAAAAAAAwyo/SEo4KroQRPc/s72-c/pic%252Btibaijuka.jpg)
Escrow Yaendelea Kumtesa Tibaijuka..Amshambulia Halima Mdee, Adai Anatumiwa na Wabaya Wake Kumchafua
![](http://3.bp.blogspot.com/-POvVTW6kW08/VZN7vNudyrI/AAAAAAAAwyo/SEo4KroQRPc/s640/pic%252Btibaijuka.jpg)
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika utendaji wake.Profesa Tibaijuka alitoa shutuma hizo wakati akihutubia wananchi wa Kata ya Bureza. Alisema alikumbwa na kashfa ya Escrow, kutokana na kupata fedha kutoka kwa kaka yake Rugemalila (James) alizompa kusaidia shule anayoisimamia.
Alikanusha tuhuma zilizotolewa na Mdee bungeni dhidi yake...
11 years ago
Habarileo31 Mar
Shivji aonya serikali 3
GWIJI wa masuala ya sheria za katiba nchini, Profesa Issa Shivji amewataka vijana kujiepusha na wanasiasa wenye uchu wa madaraka ambao kwa sasa wanang'ang'ania muungano wa serikali tatu ili kukidhi matakwa yao.
9 years ago
Raia Mwema30 Dec
Shivji: Magufuli kama Sokoine
SIKU 50 tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, kuna mambo aliyafanya kwa vitendo ambayo bila
Issa Shivji
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Warioba amshukia Prof Shivji
10 years ago
TheCitizen07 Aug
Amil Shivji’s Aisha premieres in Pangani
11 years ago
IPPmedia01 Apr
Lissu, others question Prof Shivji's stand
Daily News
IPPmedia
Renowed lawyer, Prof Issa Shivji has been faulted by several of his colleagues of the Constituent Assembly for allegedly advocating a two tire government structure a move they say is against what he stands for and also contravenes his various publications ...
Don adds weight to 2-tier UnionDaily News
all 2
10 years ago
Habarileo21 Aug
Shivji aitwa kusaidia Bunge Maalumu
BUNGE Maalumu la Katiba, limemwalika Mhadhiri mashuhuri wa masuala ya Katiba, Profesa Issa Shivji, kuwasaidia aina ya Muungano na namna mambo yake yatakavyoingizwa kwenye Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Prof. Shivji alisoma kwa ajili ya mtihani?
PROFESA Issa Shivji msomi nguli, mwanasheria mahiri, mwanaharakati na mchambuzi makini wa masuala ya kisiasa na kijamii, hivi karibuni ameingia katika malumbano na wasomi, wanasiasa na makundi mengine ambayo amekinzana...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Prof. Shivji: Mchakato Katiba umeniacha na maswali
MHADHIRI Mwandamizi Mstaafu na mchambuzi maarufu nchini, Profesa Issa Shivji, amesema kuwa mchakato wa kupata Katiba Mpya unaoendelea nchini umemuacha na maswali mengi yasiyo na majibu. Profesa Shivji, alitoa kauli...