Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIASA NOMA WAMESHTUKA!

Mwandishi Wetu WAMESHTUKA! Wakati siku zikizidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu kote nchini, hamahama ya mastaa kutoka chama kimoja kwenda kingine ina maana kuna jambo wameshtukia? Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1YaL00l

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!

Stori:  Waandishi Wetu Kama noma na iwe noma! Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, wikiendi iliyopita lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar na kugubikwa na matukio kibao nyuma ya pazia, likiwemo la msanii kutoka Nigeria, Davido ‘kupafomu’ pamoja na serikali kumkataza, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili.… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Siasa sio mchezo mchafu bali CCM ndiyo yenye siasa chafu

SIASA safi ni kitu chema na siasa ni maisha na naamini Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai atakubaliana na mimi asilimia mia kwa hili na kama si kweli hapana shaka...

 

10 years ago

Michuzi

DUUUH.... NOMA!!

Dereva wa Daladala akiangalia kama anaweza kulichepusha gari lake kwenda kwenye barabara kuu,mara baada ya kuamriwa na Askari kurudi huko.hii imetokea mapema leo katika eneo la Namanga,jijini Dar.

 

9 years ago

Global Publishers

Ulevi noma

konda1Konda huyo akiwa amelewa chakali.

Mashaka Kisusi, Mwanza
CHAPOMBE! Kondakta wa daladala moja la Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza amejikuta akiponzwa na ulevi baada ya bosi wake kuamua kumfukuza kazi mara moja, kufuatia kulewa akiwa kazini na kushindwa kufanya kazi, Risasi Jumamosi linaripoti.

Konda2Tukio hilo lilitokea mchana wa Jumatano iliyopita katika mnada wa Masasi wilayani Misungwi mkoani hapa, wakati kondakta huyo alipokuwa katika foleni ya kupakia abiria na kuamua kunywa pombe ya viroba...

 

9 years ago

GPL

MKOPO NOMA SANA

Boniphace ngumije Mkopo noma! Mfanyabiashara maarufu, Mohamed Majid Seif, mkazi wa Mikocheni A, Kinondoni jijini Dar, ametolewa vitu ndani ya nyumba yake namba A35/210 baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Sh. Milioni 210 aliouchukua kwenye Benki ya Boa (Bank Of Africa) mwaka 2011.  ....Soma zaidi===>http://goo.gl/XTPP3F

 

11 years ago

GPL

KIGOGO WA WEMA NOMA!

Stori: Imelda Mtema
NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa ikulu, Clement a.k.a CK, hivi sasa anadaiwa kutoka na shosti wa staa huyo, Naima Shaa. Naima Shaa. Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti namba moja la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda, Naima anatamba na kuwapiga vijembe wasichana wa mjini kuwa anatoka na...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Gosby — Noma

Wimbo mpya kutoka kwa Gosby utakuwa unapatika katika Mix tape yakempya wimbo unaitwa “Noma”

 

10 years ago

GPL

Niyonzima: Simba hii ni noma

Kiungo mshambuliaji machachari wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima. Na Hans Mloli
KIUNGO mshambuliaji machachari wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, ametamka wazi kuwa ameukubali usajili uliofanywa na Simba msimu huu kwa kusajili majembe ya kweli anayoamini yatasumbua vya kutosha msimu ujao. Akizungumza na Championi Jumatano, Niyonzima amesema kwamba wachezaji wengi waliosajiliwa na Simba kipindi hiki anawafahamu na ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani