Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sibiti: Warioba ametufungulia milango

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Catherine Sibiti, amesema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amefungua milango ya jamii  ya wakulima kutambuliwa kikatiba. Akizungumza na Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS JPM ATEKELEZA AHADI YA KUJENGA DARAJA LA MTO SIBITI MKOANI SINGIDA ALILOAHIDI MWAKA 2015


Na Jumbe Ismailly- MKALAMA

WANANCHI wa Kata ya Msingi,pamoja na vijiji vinavyozunguka kata hiyo wilayani Mkalama,Mkoani Singida wataondokana na adha ya kutokwenda kwenye huduma za afya,elimu pamoja na kusafiri kwenda kwenye masoko ya mazao wanayozalisha mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la mto Msingi.

Ujenzi wa daraja hilo ulioanza kujengwa juni,11,mwaka jana kwa mkataba wa miezi 24 ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana akagua Ujenzi Daraja la Sibiti linalounganisha Singida na Simiyu na kuhutubia mamia ya Wananchi katika Mikutano ya hadhara Iramba

1. Kinana akihutubia katika kijiji cha Nkungi, Wilaya ya Mkalama

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman  Kinana akitoa orodha ya vijiji vitakavyopata huduma ya umeme katika wilaya ya Mkalama, alipohutubia mkutano wa hadharakwenye  kijiji cha Nkungi, Wilaya humo,  Mei 24, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba mkoani Singida.

1. Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parceko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Kinana (kulia) maendeleo ya daraja la Mto Sibiti, Unaounganisha Singida na Simiyu,

Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

11 years ago

Habarileo

Sikika yafungiwa milango Kondoa

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Sikika limefukuzwa kufanya kazi zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kutokana na kutuhumiwa kudhalilisha madiwani na watendaji kwa wananchi kwa kudai hawajasoma na hawawajibiki katika utendaji wao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magereza yafungua milango ya ushirikiano

JESHI la Magereza nchini pamoja na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wametiliana saini makubaliano katika kuboresha na kuimarisha ushirikiano kati ya pande hizo mbili. Akizungumza na wajumbe mbalimbali waliohudhuria...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wapewa milango migumu

KIWANDA cha kutengeneza mabati cha ALAF kimevipatia vituo vya polisi viwili vya Chang’ombe na Kilwa Road katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam mabati magumu 16 kwa ajili ya ujenzi wa milango ya vyumba vya kuhifadhia silaha na mahabusu ili isiwe rahisi kubomolewa.

 

11 years ago

GPL

Yondani, Kiiza wafunguliwa milango Yanga

Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Yanga kuondokewa na nyota wake wawili, Frank Domayo na Didier Kavumbagu waliokwenda kujiunga na Azam FC huku pia beki wake wa kulia, Mbuyu Twite akigoma kuingia mkataba mpya na klabu hiyo, wachezaji wengine wa timu hiyo ambao ni Hamisi Kiiza, Kelvin Yondani na Haruna Niyonzima wamefunguliwa mlango ya kuondoka klabuni hapo kama wanataka. Maamuzi hayo yalifikiwa juzi Jumamosi katika...

 

11 years ago

Mwananchi

CUF Taifa yafungua milango ya uongozi

Chama cha Wananchi (CUF) kimefungua milango ya kugombea nafasi za uongozi taifa ngazi ya Mwenyekiti, Makamu na Katibu Mkuu utakaotangazwa baadaye baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa Kamati Kuu Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani