Sikika: Urasimu unachangia fedha za Ukimwi kutotumika
UCHELEWESHAJI wa fedha kutoka Hazina na urasimu uliopo katika matumizi ndiyo sababu iliyosababisha kiasi kikubwa cha fedha za miradi ya Ukimwi kutotumika kwa mwaka wa fedha 2013/14. Mkurugenzi Mtendaji wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Dec
‘Ukimwi siyo mradi wa kujivunia fedha’
10 years ago
Mwananchi12 Jul
MAONI : Serikali ijipange kuukabili upungufu fedha za Ukimwi
10 years ago
Habarileo14 Jan
Muhongo akerwa na kutotumika kwa umeme wa kontena
WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesikitishwa na mradi wa umeme wa Kontena kwenye kijiji cha Tura wilayani Uyui mkoani Tabora kuacha kufanya kazi baada ya kuwaka siku chache kwa kile kilichoelezwa kuwa kukosa maelewano ya wananchi na viongozi kutotunga sheria.
5 years ago
MichuziWAZIRI MWIGULU AVITAKA VYOMBO VYA SHERIA NCHINI KUTOTUMIKA VIBAYA
10 years ago
StarTV16 Dec
‘Ukosefu wa hifadhi za jamii unachangia umasikini’.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya zanzibari Balozi Selfu Ali Iddi amesema Serikali ya Tanzania bado ina kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa watu wake wanaondokana na umasikini uliyokithiri, hususani wakati huu ambapo Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF, inaingia katika awamu ya tatu huku kukiwa bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi chini ya mstari wa umasikini.
Balozi SeIf Iddi ametoa kauli hiyo Jijini Arusha katika mkutano wa kimataifa wa kinga...
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Mfumo unachangia matokeo mabovu — Mhadhiri
MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Bashiru Ally, amesema tatizo la elimu nchini haliko kwenye alama wanazopata wanafunzi bali mfumo uliopo. Bashiru alitoa kauli hiyo alipozungumza na Tanzania...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Ujenzi holela unachangia kudorora uchumi
9 years ago
Mwananchi07 Oct
‘Umasikini unachangia vifo saratani shingo za kizazi’
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Ukosefu wa mawasiliano ya simu Nyasa unachangia umasikini