Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku 52 za kampeni vifo 11

NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

TANGU kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze Agosti 22 mwaka huu, hadi kufikia jana jumla ya wagombea 11 wamefariki dunia.

Vifo hivyo vimewakumba wagombea mbalimbali wa nafasi za ubunge na udiwani kutoka vyama vya CCM, muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) pamoja na Chama cha ACT- Wazalendo.

Mfululizo wa matukio ya vifo vya wagombea wa nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ni dhahiri umeitikisa jamii kwa kiasi kikubwa.

Dadisi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ajali tatu vifo 40 ndani ya siku sita

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Mohamed MsangiMSHITUKO wa matukio ya mfululizo ya ajali, umeendelea kugubika nchi, baada ya watu 20 kupoteza maisha katika ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace, iliyotokea jana wilayani Rungwe mkoani Mbeya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Vifo vyazidi 2,000 kwa siku moja Marekani

Marekani kwa sasa ina visa nusu milioni vya virusi vya corona vilivyothibitishwa lakini mlipuko unaweza kuwa wa kiwango cha chini hivi karibuni.

 

5 years ago

Michuzi

Italia yavunja tena rekodi, watu 793 wafa siku moja kwa corona, Ulaya yazidi kulemewa na vifo na maambukizi

Kwa mara nyingine tena Italia imevunja rekodi ya watu wengi zaidi waliokufa siku moja kutokana na maambukizi ya kirusi hatari cha corona kiasi kwamba katika kipindi cha masaa 24, watu 793 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini humo.

Shirika la ha habari la Tasnim limelinukuu shirika la habari la AFP likitangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, Wakala wa Kuwalinda Raia wa Italia ulisema jana kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kirusi cha corona nchini humo ilikuwa ni 793...

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 kampeni za Dk Magufuli

Siku 10 tangu mgombea wa urais kupitia chama tawala (CCM), Dk John Magufuli alipozindua kampeni zake jijini Dar es Salaam zilizoambatana na ahadi mbalimbali kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kasi na kuijenga Tanzania mpya, zilikamilika juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 kampeni za Lowassa Ukawa

Elimu bure hadi chuo kikuu, kuondoa umaskini, kuondoa ushuru wa mazao, kuweka riba kwa mazao yanayokopwa, ujenzi wa viwanda na kuongeza kasi katika utendaji kazi serikalini, ni mambo yaliyoibuka katika siku 10 za kampeni za mgombea wa Chadema, Edward Lowassa.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo

Chama cha ACT-Wazalendo juzi kimehitimisha siku 10 za awamu ya kwanza kwa kutembelea mikoa minane ya Tanzania Bara, huku wakisisitiza kaulimbiu yao ya utu, uzalendo na uadilifu.

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA SIKU 60 YA KUJIUNGA NA MFUKO WA NHIF

Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani