Sikuwahi kuagiza mtu asameweke kodi, msinilamu, mwacheni Magufuli awanyooshe – Kikwete
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amelazimia kutumia mtandao wa Twitter kujibu tuhuma zinazosambaa kuwa katika uongozi wake aliagiza kusamehewa kodi kwa baadhi ya wafanyabiashara.
![London, 11th July 2012. London Summit on Family Planning](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/7557050278_998fcb8d94_o.jpg)
London, 11th July 2012. London Summit on Family Planning
Hiki ndicho alichoakiandika:
Wako watu katika vyombo vya habari na mitandao wanajaribu kunihusisha na ukwepaji wa kodi. Nataka kuwaambia, wanapoteza wakati wao bure.
Tumeongeza ukusanyaji wa mapato kutoka shilingi bilioni 177 mpaka shilingi bilioni 900...
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-oKsnsEpZ1wI/Xq6klDOpOCI/AAAAAAACKGY/M7Wd0nrD8zYPc11B7kt_rQgxo_i7j_ufgCLcBGAsYHQ/s72-c/5.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA DK. MWIGULU, ASISITIZA WANANCHI KUACHA HOFU DHIDI YA CORONA, KUAGIZA DAWA YA TIBA MADAGASCAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-oKsnsEpZ1wI/Xq6klDOpOCI/AAAAAAACKGY/M7Wd0nrD8zYPc11B7kt_rQgxo_i7j_ufgCLcBGAsYHQ/s400/5.jpg)
Rais Dk. John Magufuli leo 03 Mei 3, 2020 amemuapisha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Chato Mkoani Geita.
Rais Magufuli amemtaka Nchemba kuendeleza kazi nzuri iliyofanywa na mtangulizi wake Marehemu Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia tarehe 01 Mei, 2020 na pia kushirikiana na viongozi wenzake katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya Serikali.
“Nimekuteua kwa mara ya pili kwa sababu naamini unaweza kutekeleza jukumu hili vizuri, na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hQByaJoUjY8/Xto6ggttu_I/AAAAAAALssY/lVk9keCegEgwbggbYTlD7qqQP597cqT8QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
SITASHANGAA MTU AKIJIITA MAGUFULI AU HATA AKIJIITA FISI NI YEYE MWENYEWE- DK.MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-hQByaJoUjY8/Xto6ggttu_I/AAAAAAALssY/lVk9keCegEgwbggbYTlD7qqQP597cqT8QCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa Watanzania wasikubali kupewa msaada wa barakoa na kisha kuzivaa bila kujua zilikotoka kwani hiyo huenda ikawa njia nyingine ya kuingiza Corona nchini.
Amefafanua licha ya kutoa maelekezo na maagizo kwa Wizara ya Afya na kwa viongozi wa mikoa na wilaya ameshudia watu wakipewa barakoa na juzi kwenye taarifa ya habari ameona kuna grupu linajiita...
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Magufuli: Nitaondoa misamaha ya kodi
9 years ago
Habarileo04 Dec
Magufuli awashukia walipa kodi nchini
RAIS John Magufuli ametangaza kiama kwa wafanyabiashara wote wenye tabia ya kukwepa kulipa kodi na kusisitiza kuwa kamwe Serikali yake ya Awamu ya Tano, haitovumilia kitendo hicho. Kutokana na hayo, Dk Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara wote nchini waliokwepa kodi wakiwemo wale wa makontena takribani 349 yaliyopitishwa bandarini bila kulipa kodi, waende wakalipe kodi hiyo mara moja, vinginevyo sheria itafuata mkondo wake.
Aidha, amewatoa hofu wafanyabiashara wa sekta binafsi...
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Kikwete: Sihusiki na ukwepaji kodi
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Dk Magufuli: Sitaogopa mtu yeyote
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Ancelotti: Mwacheni, Khedira hauzwi
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Video:JK: Magufuli ni mtu makini na msafi
Rais wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete, leo amemnadi mgombe wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli, kwa kumuelezea kuwa ni mtu makini, msafi na asiyeshindwa
The post Video:JK: Magufuli ni mtu makini na msafi appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Bongo503 Dec
Breaking: Magufuli awapa siku 7 wafanyabiashara wakwepa kodi kujisalimisha
![jpm2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/jpm2-300x194.jpg)
Mkutano wa leo kati ya Rais Dkt John Magufuli na wafanyabiashara nchini kwenye ikulu ya Dar es Salaam haukuwa wa kunywa chai na cocktail bali wenye maelekezo muhimu na mazito.
Dkt John Magufuli akiongea na wafanyabiashara kwenye mkutano uliofanyika Alhamis hii ikulu jijini Dar es Salaam (Picha: Michuzi)
Katika mkutano huo, Magufuli ametoa siku saba, kuanzia leo kwa wafanyabiashara wote walioingiza bidhaa nchini bila kulipa ushuru wakajisalimishe na kulipa.
Mkutano huo umehudhuriwa na...