Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMIYU YAZINDUA MKAKATI WA WANAFUNZI KUSOMA KIPINDI CHA LIKIZO YA TAHADHARI YA CORONA

 Mke wa Mbunge wa Bariadi, Mhe. Andrew Chenge, Mama Christina Chenge (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mara baada ya kukabidhi msaada wa kompyuta tano na printa moja kwaShule ya sekondari Simiyu kwa niaba ya Mbunge huyo, Mei 04, 2020.Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) akimkabidhi Afisa Elimu Halmashauri ya Mji wa Bariadi nakala ya mkakati wa maalum wa kuwawezesha wanafunzi kujisomea wakati wa likizo ya dharura ya tahadhari dhidi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JAFO ATANGAZA MPANGO WA WANAFUNZI KUJISOMEA KIELEKTRONIKI KIPINDI HIKI CHA CORONA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi) Selemani Jafo amelitaka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) na Taasisi ya Elimu Tanzania(TET), kuhakikisha utaratibu wa kufanya marejeo ya mitihani ulioanza kwa kidato cha sita uhusishe madarasa yote yanayotarajia kufanya mitihani ya Taifa.
Aidha, amewataka wanafunzi kuzingatia ratiba ya masomo inayotolewa ili wasikose vipindi vinavyorushwa kwenye redio,runinga na mitandao ya kijamii.
Jafo ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...

 

5 years ago

Michuzi

SIMIYU YAFUNGA KAMBI YA KITAALUMA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA


Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini akizungumza na wanafunzi wa Kidato cha Sita mkoani humo, kabla ya kufunga kambi ya kitaaluma kwa wanafunzi hao   ambayo ilikuwa ikiendelea katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa, kwa lengo la kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha Sita wakimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini(hayupo pichani) akizungumza na wanafunzi wa Kidato cha Sita mkoani humo, kabla...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shule zinachukua tahadhari gani wakati wanafunzi wanapoanza tena masomo?

Wanafunzi wa kidato cha sita wamerejea shuleni kuendelea na masomo. Hatua mbalimbali zinachukuliwa ili kuwafanya wabaki salama.

 

9 years ago

StarTV

Upandishaji Nauli Kipindi Cha Sikukuu SUMATRA Mbeya yatoa tahadhari

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu nchni SUMATRA Mkoa wa Mbeya imewatahadharisha wamiliki wa vyombo vya usafiri kutokupandisha nauli katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwisho mwa mwaka.

Afisa Mfawidhi wa SUMATRA mkoani Mbeya Denis Daudi amesema mamlaka hiyo haitasita kuwachukulia hatua watoa huduma wakiwemo wamiliki, wafanyakazi na wapiga debe wa vyombo vya usafiri watakaokiuka agizo hilo.

Akizungumza na Star tv, Denis amesema yamejengeka mazoeza ya kila...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

10 years ago

Michuzi

E FM 93.7 yazindua kipindi kipya cha Sports Headquarter

 Kituo cha radio cha E FM 93.7 leo kimezindua kipindi kipya kabisa cha Sports Headquarter (Makao Makuu ya habari) kikiwa cha kwanza katika historia kuruka kwa masaa matatu kuzungumzia michezo tena asubuhi saa tatu mpaka saa sita mchana.  Pichani juu ni Watangazaji nguli wa Michezo nchini Maulid Baraka Kitenge na  Ibrahim Masoud Maestro wakikiendesha kipindi hicho cha masaa matatu leo.
Kitakuwa kinaruka Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu Asubuhi mpaka saa sita mchana. Hii no katika historia...

 

9 years ago

Michuzi

STARTIMES YAZINDUA KIPINDI CHA TELEVISHENI MASHARIKI MAX

 Makamu Rais wa kampuni ya StarTimes, Bw. Michael Dearham (kushoto) akisalimiana na Jokate Mwegelo (kulia) atakae kuwa mtangazaji wa kipindi cha Mashariki Max kitakacho onyeshwa na StarTimes kupitia chaneli ya ST Swahili, wakati wa uzinduzi wa kipindi hicho uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni mtangazaji wa kipindi hicho nchini Kenya, Sarah Hassan. Picha na mpiga picha wetu. 
 Makamu Rais wa kampuni ya StarTimes, Bw. Michael Dearham (kushoto)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Televisheni ya Star Times yazindua kipindi cha Mashariki Max

01

Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm akitoa hotuba ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa kinarushwa na Televisheni ya Star Times katika nchi za Afrika Mashariki wakati wa hafla ya uzinduzi huo  jijini Dar es salaam.

02

Mkurugenzi Mtendaji wa Star Times Group nchini Langtang Liao akimkaribisha Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm wakati wa hafla ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa...

 

5 years ago

Michuzi

Tulonge Afya yazindua kipindi cha Uelimishaji Vijana Kwa njia ya Televisheni (Luninga)

· Kiitwacho Washa Kideo na SITETEREKI, kinalenga kufikia zaidi ya vijana milioni 20 nchini
· Lengo ni kusaidia vipaumbele vya kimkakati kwa vijana wa Serikali ya Tanzania
Ili kukabiliana na changamoto za COVID-19 ambazo zimeathiri shughuli mbali mbali Nchini Tanzania, Programu ya USAID Tulonge Afya imezindua kipindi maalum cha TV cha moja kwa moja (yaani live) "Washa Kideo na Sitetereki" kipindi ambacho pia kitakuwa kikirusha moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii. 
Malengo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani