Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simshangai Dk. Magufuli- Kikwete

magufuli, jk*Abariki kauli za kuikosoa Serikali yake

*Atamani kupumzika mapema

 

Na Mwandishi Wetu, Washington

RAIS Jakaya Kikwete, amesema hamshangai mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli kwa kukosoa utendaji kazi wa Serikali yake katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea.

Rais Kikwete, alitoa kauli hiyo juzi, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya NDI yenye uhusiano na Chama cha Democratic, IRI yenye uhusiano na Chama  cha Republican, IFES na United States Institute...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete afurahia alivyoanza Magufuli

Rais aliyeondoka mamlakani majuzi nchi Tanzania amesifu jinsi Rais mpya John Magufuli alivyoanza kazi na kumtaka aendelee vivyo hivyo.

 

9 years ago

StarTV

Kikwete: Magufuli chaguo la Mungu.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, amesema mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli, ni chaguo la Mungu.

Akizungumza na wazee, wanawake, vijana na wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam jana, alisema jina la Dk. Magufuli lilijitokeza katika hatua zote za uteuzi ikiwamo vikao vya wazee na hata katika Mkutano Mkuu alichaguliwa na maelfu, jambo linaloonyesha anakubalika kwa wote. Alisema Mungu ametoa hukumu yake kwa mtu wake na Watanzania ndiyo wataamua katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Zigo la Z’bar ni la Magufuli au Kikwete

Wakati majadiliano ya kina yanaendelea visiwani ili kufikia mwafaka wa kuendelea na mchakato wa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar uliofanyika Oktoba 25 au kurudiwa upya, imeelezwa kuwa suala hilo linaweza kupata ufumbuzi iwapo litashughulikiwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Kikwete au Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Kikwete ametupiwa zigo hilo kwa sababu ya wadhifa wake wa uenyekiti wa c

 

9 years ago

Raia Mwema

Kikwete kumpisha Magufuli mapema

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais (mstaafu) Jakaya Kikwete, sasa anatajwa kuwa tayari

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Magufuli Is Perfect Choice, Says Kikwete


IPPmedia
Magufuli Is Perfect Choice, Says Kikwete
AllAfrica.com
Chama Cha Mapinduzi (CCM) National Chairman, President Jakaya Kikwete, introduced the party's flag bearer for the Union presidency, Dr John Magufuli, in Dar es Salaam, touting him as a principled leader and true patriot of the land. Addressing a large ...
Magufuli and Lowassa take oath, certify election formsBayoubuzz
Magufuli, Lowassa attest forms in courtDaily News

all 8

 

9 years ago

Mwananchi

Kwaheri Kikwete, karibu Dk Magufuli

Rais mpya wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli anaapishwa rasmi leo kuanza ngwe ya uongozi wa nchi kwa kipindi cha miaka mitano. Wakati tukimkaribisha Rais mpya Dk Magufuli, pia tunamuaga Rais Jakaya Kikwete ambaye ameiongoza nchi kwa miaka 10 kwa mafanikio makubwa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kumsakama Kikwete hakumsaidii Magufuli

WAKATI John F.

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

AllAfrica.Com

CCM Endorses Magufuli to Take Over From Kikwete


Quartz
CCM Endorses Magufuli to Take Over From Kikwete
AllAfrica.com
Dodoma — Newly elected CCM candidate for the presidency, Dr John Pombe Magufuli says he will be "a servant of the people" in his acceptance speech he delivered yesterday in Dodoma. Dr Magufuli, 56, spoke of the overwhelming feeling he had to ...
Good CCM show is good for businessDaily News
Dr Magufuli: Unity is key to victory Analysts see need for services of strong ...IPPmedia
Tanzania's ruling party picks works minister for...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli aunguruma nyumbani kwa Kikwete

g4Na Bakari Kimwanga, Bagamoyo

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kugundulika kwa gesi wilayani Bagamoyo kutatimiza ndoto yake ya kuijenga  Tanzania mpya ya viwanda.

Dk. Magufuli ametoa kauli hiyo wilayani Bagamoyo, katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya kwenye majimbo ya Chalinze na Bagamoyo.

Alisema Tanzania mpya yenye kutoa ajira kwa vijana na kuwawezesha wanawake na wazee kiuchumi inakuja chini ya Serikali ya awamu ya tano, ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani