Simulizi kuhusu watoto waliotenganishwa
Watoto hao walipewa majina ya Eliud na Elikana, walizaliwa Februari 20, mwaka jana mkoani Mbeya wakiwa wameungana huku mama yao Grace Joel (20) akiwa hana matumaini ya watoto hao kutenganishwa au kuendelea kuishi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Watoto pacha waliotenganishwa India sasa waanza kutembea
Hali za watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana, Eliud na Elikana wenye mwaka mmoja na miezi sita, zinazidi kuimarika tangu walipofanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Julai mwaka huu.
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne
Je ni vipi unaweza kuwalea mapacha wanne?. Mama Dirvina Joseph Mwanamke kutoka Kenya alijifungua anatushirikisha jinsi anavyowashughulikia watoto wake wanne wenye umri wa miaka 3
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Ukatili baharini: Simulizi kuhusu wavuvi waliotoswa kwenye maji na Wachina
Video inayoonesha mwili wa kijana mmoja akitoswa kikatili baharini imesababisha kufanyika kwa uchunguzi kimataifa, na tukio hilo kuonesha kuwepo kwa viashiria vya hali ''kama ya utumwa''
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Pacha waliotenganishwa warejea
>Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa wameungana wamerejea nchini jana wakitokea India walipokuwa kwa ajili ya kutenganishwa, tayari kwa kusherehekea kumbukumbu yao ya kutimiza mwaka mmoja leo.
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Pacha waliotenganishwa wafanyiwa upasuaji
>Hatimaye mmoja kati ya pacha waliokuwa wameungana kabla ya kutenganishwa kwa upasuaji nchini India, Elikana jana alifanyiwa upasuaji wa kuziba njia ya muda ya haja kubwa na kutengenezewa ya kudumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mbeya.
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Pacha waliotenganishwa wawasili salama Kyela
Kyela. Mamia ya wakazi wa Kijiji cha Kasumulu eneo la ‘Juakali’, wilayani Kyela Mkoa wa Mbeya, jana walimiminika nyumbani kwa mama wa watoto pacha, Grace Joel ili kushuhudia jinsi walivyotenganishwa baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
11 years ago
Mwananchi11 Apr
Pacha waliotenganishwa India waishi kwa shida
>Mwezi mmoja baada ya pacha waliokuwa wameungana, Ericana na Eliud kurejea nyumbani mkoani Mbeya baada ya kutenganishwa huko India, imebainika kuwa sasa wanaishi maisha magumu.
10 years ago
Mwananchi13 Jan
KUWAONA WATOTO WADOGO KUHUSU TEHAMA
Teknolojia ya habari na mawasiliano inaendelea kukua na kutumika kwa kiasi kikubwa nchini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania