Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIRI 7 ZA KUVUNJA NDOA NA MBUNGE MZEE

Stori: Imelda Mtema na Ojuku Abraham
YULE ‘hendsam’boi’ Michael Christian (28) ambaye mwaka jana aliitikisa medani ya siasa Bongo kufuatia kufunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Rukwa, Rose-Sweeter Kasikila (60) na miezi michache mbele ndoa ikavunjika, ameibuka na kuanika siri 7 zilizomfanya aamue kuivunja ndoa hiyo na mheshimiwa huyo. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Rukwa, Rose-Sweeter...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mahakama yalalamikiwa kuvunja ndoa

MAHAKAMA ya Mwanzo Namanyere, wilayani Nkasi, imelalamikiwa kuvunja ndoa iliyokuwa na mgogoro bila kugawanya mali iliyochumwa na wanandoa wakiwa pamoja. Maria Tarafa (25), mkazi wa Kijiji cha Isale ambaye ni...

 

9 years ago

Mtanzania

Kanisa Katoliki sasa kuvunja ndoa

papa1KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na kuoa upya.

Dhamira hiyo ni ishara nyingine ya dhamira ya Papa huyo kutaka kulifanya Kanisa Katoliki liwe rafiki zaidi na kuendana matakwa ya walio wengi.

Akizungumza kuhusu mabadiliko hayo, Papa alisema si haki kwa wenzi kuishi muda mrefu ‘wakikandamizwa na wingu la shaka’ kuhusu uhalali wa ndoa zao.

Ikumbukwe kwamba ni msimamo wa Papa kumkatalia Mfalme...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Maji hatarini kuvunja ndoa za watu Moro’

Wanawake wa Mikese na Mkambarani mkoani Morogoro, wameiomba Serikali kuwatatulia kero sugu ya maji iliyodumu kwa muda mrefu kiasi cha kusababisha ndoa zao kuingia kwenye migogoro kutokana na kutumia muda mwingi kutafuta na kuziacha familia bila kuwa uangalizi wa kutosha.

 

9 years ago

GPL

WOLPER KUFUNGA NDOA YA SIRI

Imelda Mtema BAADA ya kuvishwa pete na mwanaume aliyedaiwa kuwa na mume wa mtu, raia wa Kongo, mwigizaji Jacqueline Walper ‘Wolper’ amesema kamwe watu hawatajua siku atakayofunga ndoa kwani amegundua watu wengi wana husda. Wolper alisema anaamini kuwa siyo kila mtu ana mapenzi ya dhati kwake hivyo atafunga ndoa ya kimyakimya ndipo baadaye atafanya sherehe.“Siku hizi wanga wengi watu watashtukia nimeshafunga ndoa sherehe...

 

10 years ago

GPL

LUNGI AFUNGUKIA NDOA YA SIRI

Stori: Laurent Samatta/Ijumaa Wikienda
STAA wa sinema za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema baada ya kufunga ndoa ya siri Novemba, mwaka jana na Jonson, Raia wa Cameroon, walidumu kwa muda mfupi kwenye ndoa na sasa wameachana.
Akifafanua undani wa sakata hilo, Lungi alisema alikubali kuolewa na mwanaume kwa ajili ya yeye kujipatia fedha na hakuwa akimpenda kwa dhati. Staa wa sinema za Kibongo, Lungi Maulanga. “Mimi mtoto...

 

11 years ago

GPL

P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya kuishi maisha ya kisela kwa muda mrefu, hatimaye mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ ameoa kwa siri. Mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ wakati wa harusi yake. Taarifa kutoka kwa chanzo makini kilichoshuhudia tukio hilo, lilichukua nafasi jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita kwa usiri mkubwa. Imeelezwa kuwa, P Funk...

 

11 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo siri yangu-Mzee Yusuph

Mwanamuziki wa miondoko ya taarabu Mzee Yusuph ametaja siri ya mafanikio yake kuwa ni pamoja na kusoma alama za nyakati huku akifuata na wanachotaka mashabiki wake.

 

10 years ago

GPL

SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA

Na Waandishi Wetu
IMEFICHUKA! Ile ndoa ya wasanii wa filamu za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike’ ambayo imekuwa ikiyumba mara kwa mara chanzo kimedaiwa kilianzia kwenye ufungaji wake.Sosi wetu makini aliyeomba hifadhi ya jina lake alitutonya kuwa, ndoa ya mastaa hao ni ya mseto kwani hakuna aliyekuwa tayari kufuata imani ya mwenzake jambo lililowashangaza wengi. Salome Urassa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani