Sita washikiliwa kwa ujangili Singida
Mkuu wa wilaya ya Manyoni mkoani Singida, Fatma Toufiq, akikagua vipande vya Meno ya Tembo 28 vilivyokamatwa Julia 8 mwaka huu kwenye nyumba ya wageni (jina tunalo).Vipande hivyo vya Meno ya Tembo ni sehemu ya nyara mbalimbali zilizokamatwa zenye thamani ya zaidi ya shilingi 200 milioni.Pamoja na nyara hizo, pia bunduki mbili za kijeshi aina ya SMG na risasi zake 48,zilikamatwa.(Picha na Gasper Andrew).
Na Gasper Andrew, Singida
Jeshi la polisi Mkoani Singida linawashikiliwa watu sita kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Apr
Sita washikiliwa na Polisi kwa kubaka
WATU sita wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40.
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Ajali yaua sita na kujeruhi wengine 40 Singida
Basi la kampuni ya Nice Line Coach T.174 CAV mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza, limegonga lori kubwa RAC 317 N kwa nyuma na kukwanguliwa kushoto kuanzia mlangoni na kusababisha vifo vya abiria watano na kujeruhi wengine 39 waliolazwa katika hospitali ya mkoa mjini Singida.
![DSC06582](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/DSC06582.jpg)
10 years ago
Habarileo13 Jun
Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida
WATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Watu sita wapoteza maisha mkoani Singida
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP. Thobias Sedoyeka akiongea na waandishi wa habari Mkoani Singida alipokuwa akitoa taarifa za matukio ya mauaji ya watu sita Mkoani hapa.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mukhola, kata ya Mgori wakiwa katika safari ya kumtafuta mtu aliyewauwa wanawake wawili akiwemo mtalaka wake kwa kugombea mashamba.
Na,Jumbe Ismailly, Singida
WATU sita wamefariki dunia na mtu mmoja kujeruhiwa katika matukio manne tofauti yaliyotokea Mkoani Singida kati ya...
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
NSSF, Singida yatumia Bilioni 1.52 kukopesha vikundi sita vya wajasiriamali
Meneja wa shirika na hifadhi ya jamii NSSF, Magreth Mwaipeta akizungumza na wanachama wa kikundi cha Aminika gold Mine Ltd cha Sambaru Wilaya ya Ikungi, Singida.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.52 kwa ajili ya kuvikopesha vyama sita vya ushirika Mkoani Singida.
Hayo yamebainishwa jana mjini hapa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Singida, Magreth Mwaipeta wakati akizungumza kwenye semina ya uhabarisho baina ya shirika la...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za mauaji na uhalifu mwingine uliofanyika Oktoba mwaka huu, mkoani humo kwa nyakati tofauti. Kamanda wa Polisi mkoani hapa,...
9 years ago
Habarileo13 Sep
Washikiliwa kwa vurugu Dodoma
WATU wanne wanashikiliwa na Polisi mkoani hapa kutokana na vurugu zilizotokea katika eneo la hoteli iitwayo NAM mjini humu juzi.
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Watanzania 13 washikiliwa Madagascar kwa magogo
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
23 washikiliwa na Polisi kwa mauaji ya watu 4
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, linawashikilia watu 23 wakazi wa kijiji cha Nkyala kata ya shelui wilaya Iramba mkoa wa Singida, kwa tuhuma ya kudaiwa kuuawa kwa makusudi wezi wanne wa madume ya Ng’ombe.
Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, alisema watu hao kati yao 21 wanatuhumiwa kwa mauaji na wawili...