Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sketi fupi yamtia Polisi matatani

Koplo wa polisi aliyezua mjadala kutokana na sketi iliyombana makalio amekwenda Kortini kuzuia asiadhibiwe

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Sketi fupi yamtia matatani polisi

OFISA wa Polisi mwanamke nchini Kenya, Linda Okello amepewa onyo kali kwa kuvaa sketi, iliyokuwa imembana, kiasi cha kuonesha umbo lake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sketi yamtia mashakani polisi Kenya

Afisaa mmoja wa polisi mwanamke amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sketi fupi zawaponza wanawake Morocco

Wanawake wawili raia wa Morocco waliofikishwa mahakama, kwa kosa la kuvaa sketi fupi,hatimaye wameachiliwa huru.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliovalia sketi fupi waachiliwa huru Morocco

Mahakama huko Morocco imewaondolea lawama wanawake 2 waliokuwa wameshtakiwa kwa kuvaa mavazi yasio na heshima mbele ya umma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Instagram yamtia matatani Balotelli

Shirikisho la soka FA linachunguza ujumbe wa Instagram wa mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotell unaodaiwa kuwa ni wa kibaguzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

'Selfie' yamtia matatani Miss Lebanon

Picha ya 'selfie' ya mrembo wa Lebanon akiwa karibu na mwenzake wa Israel kwenye mitandao ya kijamii mambo imewakera wengi Lebanon

 

9 years ago

StarTV

Polisi Kigoma yamtia mbaroni James Charles  kwa kujifanya JWTZ

Polisi mkoani wa Kigoma wamefanikiwa kumkamata mtu mmoja mkazi kwa  kijiji cha Mwamila wilaya ya Uvinza  James  Charles kwa tuhuma za   kujifanya kuwa ni askari wa jeshi la wananchi  wa Tanzaniua JWT, akitumia fursa hiyo kujipatia fedha kinyume cha sheria

James Charles  aliyekamatwa kufuatia taarifa zilizotolewa na raia wema kwa jeshi hilo  anatuhumiwa  kufanya kazi za afisa uhamiaji  jambo ambalo pia ni kosa kisheria .

Akizungumza na waandishi  wa habari ofini kwake  kamanda wa polisi mkoa...

 

9 years ago

StarTV

Polisi wilayani Bunda yamtia mbaroni mwanamke mmoja kwa vitendo vya ukatili

Polisi wilayani Bunda mkoani Mara inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kumchoma moto mtoto wa kaka yake sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri kwa madai ya kuiba mboga chunguni.

Mwanamke anayeshiliwa na Polisi ametambuliwa kwa jina la Jenipher Mtaki mwenye miaka 22 mkazi wa Migungani wilayani Bunda.

Tukio hilo ambalo limetokea desemba 15 mwaka huu, majira ya saa za usiku katika eneo la Migungani mjini Bunda, liligunduliwa na wasamalia wema waliotoa taarifa kwa Rebeca Kibore...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Stakishari matatani

Polisi wa Kituo cha Stakishari Ukonga wilayani Ilala wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Karakata, Liberati Matemu (55), aliyefariki juzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani