Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soko la Nguo lashambuliwa Nigeria

Kwa mujibu wa maafisa wakuu wa mlipuko wa bomu hilo ulitokea eneo ambako mizigo inapakiwa, katika soko la nguo la Kantini Kwari mjini Kano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Vyumba vya kupimia nguo kabla ya kununuliwa katika soko la Mchikichini — Ilala jijini Dar vilitumika kudhalilisha wanawake

1

Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam jana wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya  kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.

Mwezeshaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

VYUMBA VYA KUPIMIA NGUO KABLA YA KUNUNULIWA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM VILITUMIKA KUDHALILISHA WANAWAKE

Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya  kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.Mwezeshaji...

 

9 years ago

Mwananchi

Nigeria kuna soko la kahawa- Balozi

Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Daniel ole Njoolay amewataka Watanzania kuchangamkia fursa za biashara ya kahawa na chai nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bunge la Somalia lashambuliwa

Milipuko na risasi zimesikika huku majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa mjini Mogadishu wabunge wakiwa ndani kwa mkutano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge la Afghanistan lashambuliwa

Ripoti zinasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa karibu na bunge la Afghanistan huko Kabul .

 

11 years ago

GPL

BASI LA MAGEREZA LASHAMBULIWA DAR

BASI la Jeshi la Magereza lililokuwa na mahabusu likitokea Mahakama ya Kawe jijini Dar es Salaam, limeshambuliwa na watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki. Inadaiwa kuwa watu hao walitaka kumdhuru mtu aliyekuwa kwenye gari lililokuwa mbele ya basi hilo. Walipoliona basi hilo wakadhani kuwa lazima kutakuwa na askari wenye silaha ndipo wakalishambulia. Katika shambulio hilo, dereva wa basi na askari mmoja wamejeruhiwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

GAZETI JINGINE LA UJERUMANI LASHAMBULIWA



Gazeti jengine la Ujerumani lashambuliwaGazeti la Humburger Post lililoshambuliwa kwa kuchapisha vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed.
Polisi nchini Ujerumani wanasema kuwa kumekuwa na shambuli la kuchoma moto ofisi za gazeti ambalo lilichapisha vibonzo kutoka kwa gazeti la vibonzo la Charlie Hebdo.
Mawe na vitu vinavyowaka moto vilirushwa katika dirisha la ofisi za gazeti la Hambuger Morgenpost mapema leo Jumapili.
Vyumba viwili kwenye afisi hizo viliharibiwa lakini moto huo ulizimwa kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gazeti jengine la Ujerumani lashambuliwa

Polisi nchini Ujerumani wanasema kumekuwa na shambulizi la kuchoma gazeti ambalo lilichapisha vibonzo vya Charlie Hebdo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani