Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars inao uwezo wa kuiondoa Malawi

Timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ keshokutwa itakuwa na kibarua kigumu cha kwanza cha itakapoikabili Malawi ‘The Flames’ katika mechi ya kwanza kati ya mbili za kusaka tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Stars yaivaa Malawi

Timu ya soka ya taifa ‘Taifa Stars’ inaivaa Malawi leo saa 11:00 jioni katika pambano la kirafiki la kimataifa litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Stars, Malawi 5,000/-

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetaja viingilio vya kuiona timu ya Taifa, Taifa Stars, katika mchezo wa kesho dhidi ya Malawi wa kufuzu Kombe la Dunia huku kile cha chini kikiwa ni Sh 5,000.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yaitungua Malawi

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilivuna ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Malawi katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taifa Stars kucheza mchezo wa kujipima uwezo na University of Pretoria

Kikosi cha timu ya taifa kikiwa katika moja ya programu za mazoezi

Kikosi cha timu ya taifa kikiwa katika moja ya programu za mazoezi.

Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa akinena jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)

Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa akinena jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani).

Na Rabi Hume

Timu ya taifa, Taifa Stars iliyopo Johannesburg, Afrika kusini inatarajiwa kucheza mchezo wa kujipima uwezo na timu ya University of Pretoria (Tucks Fc) mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumapili Novemba,8.

Mchezo huo unaotariwa kuchezwa katika jiji la Johannesburg ikiwa ni sehemu ya program za Kocha wa timu ya taifa,...

 

9 years ago

Habarileo

Stars ya kuivaa Malawi yatajwa

KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoikabili Malawi, The Flames katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018, kimetangazwa kikiwa hakina mabadiliko na kilichoikabili Nigeria katika kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.

 

11 years ago

Mwananchi

Stars kuivaa tena Malawi

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mechi ya kirafiki na timu ya Malawi ‘The Flames’ Jumanne jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini.

 

11 years ago

TheCitizen

Stars line up Malawi warm-up

>Taifa Stars stand-in coach, Salum Madadi, can’t wait to lead the national soccer team out against The Flames of Malawi and Burundi’s Intamba Mu Rugamba later this month.

 

9 years ago

Habarileo

Stars waenda Malawi leo

KIKOSI cha wachezaji 20 wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinaondoka leo kwenda Malawi kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya The Flames kwa ajili ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2018.

 

9 years ago

Mwananchi

Kiingilio cha Stars, Malawi ni Sh 5,000

Katika kile kinachoonekana kuwa  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesikia kilio cha wadau  wa soka nchini,  jana limetangaza kiingilio cha Sh 5000 kwa ajili ya kutazama mchezo kati ya Taifa Stars na Malawi utakaochezwa kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani