Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Steve Nyerere Afungukia Madai Kuhamia Ukawa!

STAA wa uchekeshaji na filamu Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kujiondoa Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na umoja wa UKAWA akisema kushindwa kwake katika kura za maoni hakuwezi kuondoa heshima yake kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete.

Akizungumza na gazeti hili juzi, Steve alisema Rais Kikwete amefanya mambo mengi sana kwa wasanii, kiasi kwamba ni mtu asiye na hisani pekee anaweza kuhama CCM kwa sababu ya kushindwa katika kura za maoni au ushawishi wa namna...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI

Mwandishi Wetu STAA wa uchekeshaji na filamu Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kujiondoa Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na umoja wa UKAWA akisema kushindwa kwake katika kura za maoni hakuwezi kuondoa heshima yake kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1P5OMBB

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE ACHOMOA MADAI YA KUMTENGA KOLETA

Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kumtenga msanii mwenzao, Coletha Raymond ‘Koleta’ kipindi alipokuwa anaumwa. Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenye suti). Awali, madai yalipenyezwa kuwa, klabu hiyo ilimtenga Koleta kipindi alipokuwa akiumwa ambapo alilazwa...

 

10 years ago

GPL

MTITU AFUNGUKIA BIFU LAKE NA STEVE

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya tetesi kuzagaa kwamba aliyekuwa Katibu wa Bongo Movie Unity, William Mtitu kwamba ana bifu kali na aliyekuwa mwenyekiti wa kundi hilo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ mwenyewe amefunguka kwamba hawezi kufanya kitu kama hicho. Aliyekuwa Katibu wa Bongo Movie Unity, William Mtitu. Akistorisha na paparazi wetu, Mtitu amesema anashangazwa na taarifa hizo licha ya kwamba hawajawahi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

steve nyerere atangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la wapiga kura, ili wasikose kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano maalum wa kutangaza nia na kuhamasisha watu kujiandikisha, alisema kujiandikisha ni haki ya kila Mtanzania hivyo kwa vijana na wazee hakuna sababu ya...

 

9 years ago

GPL

STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA

Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewachana wasanii kwa kuwaita wanafiki kutokana na kuukacha uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Uwanja wa Jangwani wiki iliyopita. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Steve alisema ameshangazwa kuona baadhi ya wasanii kuikacha CCM na kuupigia debe Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao unaundwa na vyama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Mimi si shoga

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amekerwa na alichosema uzushi dhidi yake kwamba ni shoga. Kupitia ukurasa wake wa facebook, msanii huyo alisema anachukizwa na kasumba ya baadhi...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE, BATULI HAPATOSHI

Stori: Gabriel Ng’osha
Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ na mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ wameingia kwenye bifu zito baada ya kutofautiana katika makubaliano ya kikazi. Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo makini, hivi karibuni wawili hao waliingia kwenye mabishano wakati Steve Nyerere alipokuwa akiandaa filamu yake mpya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani