Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Strabag katika hatihati

Siku chache baada ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) kutoa tamko la kuzifuta kampuni zisizowasilisha taarifa zake za hesabu za mwaka, imebainika kuwa kampuni ya ujenzi ya kimataifa ya Strabag ni miongoni mwa zitakazopitiwa na rungu hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Strabag yaonya madereva

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag inayojenga barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam (Dart), imewaonya madereva wanaotumia barabara ya Morogoro kutokukubali kutozwa ushuru wowote kwa ajili ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapumziko ya JK yawaponza Strabag

WAFANYAKAZI wawili  na  vibarua 50 wa Kampuni ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT) ya Strabag, wamefukuzwa kazi kwa kile kilichodaiwa  kutokwenda kazini Januari 13, mwaka huu ambayo...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI STRABAG WAGOMA:

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag inayojenga barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam (Dart), wamegoma kufanya kazi wakishinikiza kuongezewa maslahi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wamiliki wa magari wailalamikia Strabag

WAMILIKI wa magari binafsi wanaotumia Barabara ya Morogoro, Dar es Salaam wameulalamikia uongozi wa Kampuni ya Strabag inayojenga barabara ya mradi wa mabasi yaendayo haraka kutokana na wafanyakazi wake kuwaomba...

 

11 years ago

GPL

STRABAG WATOA VIZUIZI BARABARANI

Wafanyakazi wa Strabag wakitoa vizuizi barabarani eneo la Magomeni, Dar. KAMERA yetu leo imewanasa wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi (Strabag) wakitoa vizuizi vilivyokuwa vimewekwa barabarani ili kuondoa usumbufu katika utendaji wao wa kazi maeneo ya Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam. (Na Gabriel…

 

11 years ago

GPL

MGOMO WA WAFANYAKAZI WA STRABAG LEO

WAFANYAKAZI wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRABAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, leo asubuhi wameingia katika mgomo wakipinga uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa mishahara midogo wafanyakazi wake na kuondolewa posho zao za wiki na mwisho kabisa wakipinga suala la kutopewa ajira kwa vibarua waliofanya kazi kwa muda mrefu katika kampuni hiyo.

...

 

11 years ago

GPL

STRABAG BADO HALI TETE

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRATBAG’ wakiwa katika mgomo. HALI bado si shwari katika kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRABAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, ambapo asubuhi hii Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wametanda eneo la ofisi hizo na hakuna mfanyakazi yeyote wa kawaida anayeruhusiwa kuingia ndani. Mgomo huo...

 

11 years ago

TheCitizen

‘Strabag fungueni barabara haraka’

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameiagiza Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi Yaendayo Kasi (Strabag) kufungua barabara zote zilizokamilika ili kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wa Strabag waendelea na mgomo

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag, inayotekeleza mradi wa mabasi ya kasi, Dart, wameendelea na mgomo ulioanza juzi kushinikiza uongozi uwalipe malimbikizo ya posho zao za takriban miezi saba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani