Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Chakula na Lishe yaelezea umuhimu wa vitamini A watoto

1

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt. Elifatio Towo (Katikati) akieleza umuhimu wa vitamini A, Kushoto ni Afisa Lishe Mwandamizi Bi. Neema Joshua na kulia ni Afisa Mtafiti wa Sayansi ya Chakula Bi. Wessy Meghji.

2

Afisa Mtafiti wa Sayansi ya Chakula na Lishe Wessy Meghji akionesha aina ya vyakula ambavyo vinaongeza vitamini A, kushoto ni Elifatio Towo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe.

Upungufu wa vitamini na madini ni mojawapo ya matatizo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Kilele wa Dunia kuhusu Chakula na Lishe wafunguliwa Arusha

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akihutubia kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa unahusu masuala ya Lishe na Chakula uliofanyika jijini Arusha. Mhe. Pinda akihutubia Mfalme wa Lesotho Mhe. Letsie III ambaye nae alihudhuria mkutano huo akihutubia wadau mbalimbali na wageni waalikwa walioshiriki katika mkutano huo (hawapo pichani). Balozi wa Tanzania anayeiwakilisha nchini...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MASUALA YA LISHE NA CHAKULA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda (kulia) akimpokea Mfalme wa Lesotho,  Mhe. Letsie III (kulia) alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Kilimanjaro (KIA).  Mfalme Letsie ambaye pia ni Kiongozi wa kuhamasisha masuala ya Chakula na Lishe wa Umoja wa Afrika yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kwanza wa Dunia kuhusu umuhimu wa kuongeza Virutubisho kwenye Chakula. Mkutano huo unafanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 09 hadi 11 Septemba,...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA TATHMINI YA HALI YA CHAKULA NA LISHE MKOANI SIMIYU

Bw. Clement Ngosha wa kijijini Kabita Wilayani Busega, Simiyu, akitumia mbegu za mahindi kueleza hali ya chakula kijijini hapo kwa wataalam wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Oktoba, 2014. Mtaalam wa Usalama wa chakula kutoka Wizara ya kilimo, chakula na Ushirika, Bi. Tatu Kayumbu akiihoji moja ya kaya kijijini Mwamanyili,Wilayani Busega, Simiyu wakati wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu kijijini hapo, ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanya biashara wa chakula mkoa wa Dar Es Salaam waanzisha jumuiya ya Mama na Baba lishe!

4.Baadhiyaakinamamalishenababalishewakiwakwenyemaadhimishohayo.Baadhi ya akina mamalishe na babalishe wakiwa katika moja ya majumuiko yao (Picha kwa msaada wa mtandao wa Global Publisher.

Na Rabi Hume

Wafanya biashara wa kuuza chakula katika mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha jumuiya ya wafanya biashara hao ikiwa na lengo la kuunganisha wafanyabiashara hao, kulinda haki zao na kuzitafutia ufumbuzi wapatapo tatizo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Ramadhani Mhonzu amesema kuwa wameamua kuanzisha jumuiya hiyo ili iweze...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK mgeni rasmi mkutano wa tatu wa Shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika

01

Rais wa Chama cha Chakula na Lishe Tanzania (FONATA) Prof. Joyce Kinabo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam, kuhusu Mkutano wa tatu wa Shirikisho la Vyama  vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe Afrika ambao unalenga kutoa fursa kwa wanasansi wa masuala ya lishe ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TATU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATAALAMU WA MASUALA YA CHAKULA NA LISHE AFRIKA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA.

 Raisi wa FANUS  Prof.Joyce  Kinabo,akizungumza na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na mkutano wa tatu wa shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika,unaotarajiwa kufanyika Mei 24 hadi 29 jijini Arusha kushoto ni Dkt Joyceline Maganda Kaimu Mkurungenzi  Mtendaji ,Taasisi  ya Chakula na Lishe.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO  Jiji Dar es Salaam leo.Baadhi ya waandishi  wa Habari walio hudhuria katika mkutano wa tatu wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kuna umuhimu gani kwa wanawake wa Uganda kupiga magoti wakisalimia na kukaribisha chakula

Nchini Uganda, wanawake wa jamii ya Buganda na huwa wana utaratibu wa kupiga magoti wakati wanapoandalia watu chakula na wanaposalimia

 

11 years ago

Habarileo

Watoto wengi hawana lishe bora

WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.

 

11 years ago

Habarileo

Unga wa lishe hatari kwa watoto

MCHANGANYIKO usiozingatia makundi matano ya vyakula, unaotengenezwa na wajasiriamali au nyumbani kwa ajili ya unga wa watoto maarufu ‘Lishe’, una athari za kiafya kwa watoto wachanga na walio chini ya miaka mitano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani