Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taifa Stars iandaliwe kwa CHAN2016

Shirikisho la Soka barani Afrika ‘CAF’ linataraji kupanga ratiba ya mashindano ya fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) Rwanda 2016 hapo Aprili 5, jijini Cairo, Misri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Taifa stars yajifua kwa Cosafa

Taifa Stars inaingia kambini Jumatatu wiki hii kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na michuano ya Cosafa.

 

11 years ago

Mwananchi

Adidas yaipamba kwa vifaa Taifa Stars

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefikia makubaliano na Kampuni ya Adidas kutegeneza jezi za timu ya taifa, Taifa Stars.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yaanza kujifua kwa COSAFA

Taifa Stars inaendelea na mazoezi mepesi mjini Rustenburg, Afrika Kusini tayari kwa michuano ya Kombe la COSAFA

 

10 years ago

Tanzania Daima

Taifa Stars yanyoosha mikono kwa Burundi

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, juzi ilishindwa kutamba kwa mara nyingine mbele ya Burundi, baada ya kulimwa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyopigwa mjibu Bujumbura....

 

9 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA ALGERIA KWA BAO 2-2

Mshambuliaji machachari wa Timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu, akionyesha umahiri wake wa kuwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Algeria, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.Mchezaji wa timu ya Taifa ya Algeria, Guediora Aldane akiondoka na mpira mbele ya beki wa Timu ya...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS YAWAFUNGA WADOGO ZAO MBILI KWA MOJA

Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza dhidi ya vijana wa timu ya taifa wenye umri wa chini ya miaka 20 leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Kikosi cha vijana wa timu nya taifa wenye umri wa chini ya miaka 20.…

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yaendelea kujifua tayari kwa kuwakabili Swaziland

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mart Nooij akiendelea kuwafua vijana wake ikiwa ni muendelezo wa mazoezi katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.Wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiendelea kujifua katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAENDA Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya FIFA

starsKikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).  Timu imefikia hoteli ya Safari jijini humo. Mechi hiyo itachezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, na kikosi cha Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani