TAJIRI AKUTA MAAJABU NDANI YA BARI!
![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Tp9vMapCuEvXtTbPOSU4GPgZJ2Qt9ovyeDA6loRkCXOwaJG3m0s0V6*9DLy-mn2TwG01fypQxmsTY9dgvSI3*f/BACKUWAZI.jpg)
Na Makongoro Oging’ MAAJABU! Tajiri mmoja mkazi wa jijini Dar es Salaam, Walter Urio anayemiliki biashara mbalimbali zikiwemo hoteli na baa, wiki iliyopita alikuta maajabu ndani ya gari lake baada ya mtu kuingia ndani wakati milango na madirisha yote yalikuwa yamefungwa, Uwazi linathibitisha. Walter Urio meneja wa hoteli. Tukio hilo la aina yake lilitokea nje ya Hoteli ya Nexus iliyopo Makumbusho karibu na kituo cha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi03 Sep
HAJA YA HOJA: NI LINI TAJIRI AKAPENDA MASKINI AKAWA TAJIRI KAMA YEYE
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Msichana wa ndani aua tajiri yake, amchoma kisu kwenye Titi, afa papo hapo
Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP), Geofrey Kamwela.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee safari hii mabosi wamegeukwa na kuuwawa na wafanyakazi hao.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi mmoja wa ndani Mkoani Singida, kumwua tajiri yake kwa kumchoma kwa kisu sehemu ya juu ya titi la kulia kwa madai ya kunyanyashwa na tajiri yake.
Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP) Geofrey Kamwela alisema...
10 years ago
Bongo509 Dec
Maajabu: Mmarekani amezwa kwa hiari na nyoka Anaconda ili kufanya utafiti ndani ya tumbo lake
10 years ago
TheCitizen09 Nov
Chicken trade changes Z’bari lives
10 years ago
Habarileo13 Jun
Dk Mwele akuta ofisi zimefungwa
KADA wa CCM anayetafuta wadhamini ili aombe ridhaa ya wanachama wenzake kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu ujao, Dk Mwele Malecela, amepata wakati mgumu wa kupata wadhamini katika Mkoa wa Manyara, baada ya kukosa mwenyeji wake.
11 years ago
Habarileo03 Mar
RC akuta wanafunzi 200 wamekaa sakafuni
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesikitika kuona wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Gongwe katika kijiji cha Mvumi kata ya Msowero wilayani Kilosa, wakikaa sakafuni kutokana na ukosefu wa madawati.
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Waziri akuta ‘ofisi nzima’ wako likizo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMkQucAeEyjY3zoNF5Wp07cge*gWNm*v8Uet2PGtQabxLpnPQdTE1HRC7fgssuCAh7gpX0vAshSqfK-4YpQF5Oeg/ngweacopy.jpg?width=650)
PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrP0sA0sXAAgc8CBVauguEhLCt1PwLpe9IKMBZWAWAY3*ES7NC9R4X*PLbZiHLcT-kvxR4Ri1x6a-y5*NAsdzER4/BACKAMANIJJJ.jpg?width=650)
ANG’OLEWA JICHO, ARUDI NYUMBANI, AKUTA MAFURIKO