Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA DMV YAFUNGWA 7-1 NA SENEGAL

 Aliyekaa chini ni kocha mchezaji M. Libe akiwa ameumia nyonga iliyompelekea kutoka kwenye mechi ya Tanzania na Senegal katika mashindano ya DMV World Cup yaliyofanyika Hyattsville, Maryland na timu ya Tanzania DMV kupoteza mchezo huo kwa bao 7-1 zidi ya SenegalMpambano ni mkali kweli kweli.Beki wa Tanzania DMV akijaribu kumthibiti mchezaji wa Senegal katika mechi iliyochezwa Jumapili May 10, 2015 katika kiwanja cha Hyattsville.Mchezaji wa Senegal akiumiliki mpira mbele ya mchezaji wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

SIMBA YAFUNGWA KWA MBIINDE NA YANGA DMV YAKUBALI YACHAPWA 5-2

Watanzania na marafiki zao wakijumuika kwenye nyama choma kabla ya mechi ya Simba na Yanga iliyochezewa Hyattsville, MD siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 na Simba kukubali kipigo cha boa 5-2 na kuendelea kuwa wateja Yanga DMV. Timu hizi uundwa na mashabiki wa Simba na Yanga wanaoishi DMV.Nyama choma ikiendeleaTimu ya Simba DMVTimu ya Yanga DMV

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashindano ya Miss Tanzania yafungwa

Serikali ya Tanzania imeyafungia kwa miaka miwili mashindano ya Miss Tanzania kutokana na ukikukaji wa taratibu na kanuni.

 

9 years ago

Mwananchi

Maduka ya Uchumi Supermarket yafungwa Tanzania, Uganda

Uongozi wa Uchumi Supermarket umetangaza  kufunga shughuli zake katika maduka yake yaliyopo Tanzania na Uganda ili kutoa nafasi ya kuzuia mtikisiko wa kifedha unaoikumba kampuni hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

KISA RUSHWA YA NGONO MASHINDANO YA MISS TANZANIA YAFUNGWA

Mashindanoa ya Miss Tanzania
Serikali ya Tanzania imeyafungia kwa miaka miwili mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandalizi kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni.
Mashindano hayo yaliofunguliwa mwaka 1994 yamedaiwa kuwa na upendeleo mbali na rushwa kulingana na malalamishi yaliotolewa na wananchi pamoja na washiriki.Kwa mujibu wa kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini Tanzania Basata , Godfrey Mngereza,kamati ya miss Tanzania ilikiuka kanuni na taratibu zinazoongoza mashindano...

 

9 years ago

Vijimambo

MADUKA YA UCHUMI SUPERMARKET YAFUNGWA NCHINI TANZANIA NA UGANDA



Uongozi wa Uchumi Supermarket umetangaza kufunga shughuli zake katika maduka yake yaliyopo Tanzania na Uganda ili kutoa nafasi ya kuzuia mtikisiko wa kifedha unaoikumba kampuni hiyo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk Julius Kipng'etich, amesema Bodi imeamua kufunga vitengo vya kikanda ili kuimarisha shughuli zake nchini Kenya baada ya kupata hasara katika maduka yake ya Uganda na Tanzania."Maduka yetu ya Uganda na Tanzania huchangia asilimia 25 tu ya gharama za uendeshaji. Matawi hayo...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA YAFUNGWA GOLI 1 NA MALAWI LAKINI YAPITA SASA KUKUTANA NA ALGERIA

Mbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na UlimwenguMbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na Ulimwengu wakati Stars ikicheza dhidi ya Malawi kwenye uwanja wa Taifa
Timu ya Tanzania Taifa Stars leo imefuzu kusonga mbele baada ya kufungwa goli 1-0 na Malawi goli lililopatikana katika kipindi cha kwanza katika dakika ya 43 ya mchezo goli lililofungwa kifundi nje ya 18 na mchezaji machachali wa Malawi John Banda anayevaa jezi nambari 7.
Katika mchezo huo uliochezewa katika uwanja wa Kamuzu jijini...

 

11 years ago

Michuzi

DMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV

Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa na mauati alipokua amekwenda Tanzania march 7, 2014 mwaka huu. Kushoto ni mume wa marehemu Chris Muhoka na kulia Martin Koroso aliyekuja toka Michigan  Watoto wa marehemu.  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani