Tanzania kupeleka majeshi Sudan Kusini
Serikali inatarajia kupeleka kikosi kimoja cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Sudan Kusini kwa ajili ya kulinda amani kutokana na vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Kenya kupeleka majeshi Sudan Kusini
Kamati ya usalama ya Kenya imependekeza kupelekwa kwa wanajeshi wa kudumisha amani nchini Sudan Kusini
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
Sudan Kusini yatetea majeshi ya UG
Waziri wa mashauri ya Nchi za kigeni wa Sudan Kusini Barnaba Marial Benjamin, ametetea kuwepo kwa wanajeshi wa Uganda Nchini mwake.
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Majeshi ya China yalinda amani Sudan Kusini
Uchina imeanza kutuma mamia ya wanajeshi wake nchini Sudan Kusini mapema mwaka huu kujiunga katika kikosi cha Umoja wa Mataifa
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mkuu wa majeshi afutwa kazi Sudan.Kusini
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemfuta kazi mkuu wa majeshi yake Generali James Hoth Mai bila ya kutoa sababu yoyote
10 years ago
Habarileo16 Oct
Tanzania kusuluhisha mgororo Sudan Kusini
TANZANIA imekubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama tawala cha Sudan Kusini cha Sudanese People’s Liberation Movement (SPLM) ulioibuka na kusababisha kuzuka kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Tanzania tunajifunza nini mgogoro Sudan Kusini?
Januari 21, mwaka huu, Tanzania iliendelea kujiweka katika mstari wa juu kwenye masuala ya diplomasia amani ndani ya nchi za Bara la Afrika.
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
IGAD kupeleka wanajeshi S. Kusini
Mataifa ya Afrika Mashariki yameidhinisha kupelekwa kikosi cha wanajeshi 5,500 nchini Sudan Kusini ili kumaliza mgogoro wa kisiasa ambao umekuwa ukiendelea kwa wiki kadhaa sasa.
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Marekani sasa kupeleka kuku Afrika Kusini
Afrika Kusini imetia saini makubaliano na Marekani kuruhusu Marekani kuuza kuku wake nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili23 Dec
Majeshi Sudan K. yajipanga kupigana
Majeshi ya Sudan Kusini yanajiandaa kupambana na waasi katika mji wa Bor, Rais Salva Kiir amesema.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania