Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZAONE: MMEA WA ‘LOZERA’ HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

 Tabibu Gonzaga Marwa akiangalia baadhi ya mkopo ya Dawa jijini Dar es Salaam leo
TAASISI isiyo ya Kiserikali ya Tanzaone Herbal Clinic chini ya mradi wake wa ‘Tanzaone’ hatimaye imethibitisha pasipo shaka kuwa mmea ujulikanao kama Lozera na bidhaa zitokanazo na mmea huo hazifai kwa matumizi ya binadamu na wanyama.
Akizungumza na waandishi wa habari, sanjari na kuonyesha majibu ya vipimo vya kitaalamu kutoka Wakala wa Maabara ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali kupitia utafiti uliofanywa chini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

  Magari yakipakia Unga wa ngano mbovu katika godauni lililokuwa la Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) Mnazi mmoja, unga huo haufai kwa matumizi ya binadamu. Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwangwa eneo la Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja tayari kawa kuangamizwa. Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa...

 

9 years ago

Michuzi

TANZAONE HERBAL CLINIC YAKANUSHA HABARI YA MMEA WA ROZELA

TUNAOMBA RADHI KWA HABARI ILIYOTOKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA  MMEA WA ROZELA HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU ILIKUWA SIO SAHIHISampuli iliyochunguzwa na Mkemia mkuu wa serikali Lab no. 241|2013 kwa jina la Tanzaone Red Jea Juice ndio iliyochunguzwa na kuonekana kuwa haifai kwa matumizi ya binadamu na haina uhusiano wowote na Rozela na matumizi yake.Akizungumza na waandishi wa habari Tabibu Mkuu wa Tanzaone  Dk.Marwa aliwaomba radhi wakala wa mkemia mkuu wa Serikali, watanzania wote...

 

11 years ago

Mwananchi

Magereza 12 hayafai kwa matumizi ya binadamu

Wakati mamilioni ya fedha za Watanzania yakipotea kila mwaka kutokana na ufisadi na misamaha ya kodi, imebainika kuwa baadhi ya magereza nchini hayafai kutumiwa na wafungwa kutokana na kukosa sifa ukiwemo uchakavu wa majengo.

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YAFUTA USAJILI NA KUDHIBITI ZAIDI MATUMIZI YA BAADHI YA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

 Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari katika kueleza maamuzi ya TFDA kufuta usajili na kubadili matumizi ya baadhi ya dawa nchini. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa TFDA Makao Mkuu
 Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezifutia Usajili wa Dawa tano  za Binadamu kutokana na kuwepo makosa mbalimbali.         Hayo yameelewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi mkuu   TFDA Bwana Hiiti...

 

10 years ago

BBCSwahili

Scholes asema mchezo wa Man U haufai

Aliyekuwa kiungo wa kati wa kilabu ya Manchester United Paul Scholes amesema kuwa mtindo wa timu hiyo ni m'bovu

 

10 years ago

Mwananchi

Utaratibu huu wa kupitisha Katiba haufai

Marekebisho yaliyofanywa juzi na Bunge la Katiba kwenye baadhi ya kanuni zake ili kuruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya Bunge wapige kura za kuamua sura au ibara za Rasimu ya Katiba umelalamikiwa na wananchi wengi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mmea unaokula wadudu

Mmea mmoja unaokula wadudu unatumia nguvu za matone ya mvua ili kuwakamata wadudu hao,wanasayansi wamebaini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mmea wa Chikanda nusura kuangamia TZ

Mmea wa Chikanda Tanzania unakabiliwa na hatari ya kuangamia baada ya kuvamiwa na watu wanaoamini unatibu Ukimwi.

 

11 years ago

Habarileo

Mmea wadaiwa kupunguza Ukimwi

MMEA wa asili unaostawi kwa wingi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, maarufu kwa jina la Chikanda, upo hatarini kutoweka kutokana na kuvunwa kiharamu na watu wanaoamini unasaidia kupunguza makali ya Ukimwi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani