Mmea wa Chikanda nusura kuangamia TZ
Mmea wa Chikanda Tanzania unakabiliwa na hatari ya kuangamia baada ya kuvamiwa na watu wanaoamini unatibu Ukimwi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Feb
‘Wanadamu kuangamia, joto lisipodhibitiwa’
WANADAMU wanakabiliwa na tishio la kuangamia na dunia kuendelea kuwepo kama hawatakubaliana kuhusu masuala yatakayosaidia kupunguza joto la dunia lisipande kwa zaidi ya asilimia mbili katika kipindi cha miaka 30 ijayo, imeelezwa.
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Mmea unaokula wadudu
11 years ago
Habarileo16 Jun
Mmea wadaiwa kupunguza Ukimwi
MMEA wa asili unaostawi kwa wingi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, maarufu kwa jina la Chikanda, upo hatarini kutoweka kutokana na kuvunwa kiharamu na watu wanaoamini unasaidia kupunguza makali ya Ukimwi.
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Kigoma:Mmea ambao ni siri ya wanaume
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Ugonjwa hatari utakaomaliza mmea wa ndizi.
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mmea hatari watumiwa kuzalisha kawi Kenya
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FqaHjTB1zO0/VlTQ68Kt-qI/AAAAAAAIIRQ/z1xLdnKtUsg/s72-c/dk.marwa.jpg)
TANZAONE HERBAL CLINIC YAKANUSHA HABARI YA MMEA WA ROZELA
![](http://2.bp.blogspot.com/-FqaHjTB1zO0/VlTQ68Kt-qI/AAAAAAAIIRQ/z1xLdnKtUsg/s320/dk.marwa.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EKOR-QlFan8/Vji1l9MSwuI/AAAAAAAIEDg/mlQATMBE6M8/s72-c/IMG_2455.jpg)
TANZAONE: MMEA WA ‘LOZERA’ HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU
![](http://3.bp.blogspot.com/-EKOR-QlFan8/Vji1l9MSwuI/AAAAAAAIEDg/mlQATMBE6M8/s640/IMG_2455.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_tBtVmE9Us4/Vji1mG8MdYI/AAAAAAAIEDk/JeHdOXzkvYU/s640/IMG_2457.jpg)
TAASISI isiyo ya Kiserikali ya Tanzaone Herbal Clinic chini ya mradi wake wa ‘Tanzaone’ hatimaye imethibitisha pasipo shaka kuwa mmea ujulikanao kama Lozera na bidhaa zitokanazo na mmea huo hazifai kwa matumizi ya binadamu na wanyama.
Akizungumza na waandishi wa habari, sanjari na kuonyesha majibu ya vipimo vya kitaalamu kutoka Wakala wa Maabara ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali kupitia utafiti uliofanywa chini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fRmHK4RfZkmN4BxCouCYkpaO-OV4leUSbREhKJboJW7t5GIqUeUJP8v-UY9I22BISlSIQHpzRBo00XVjrx5ZlFL/hausegirl.jpg)
HAUSIGELI NUSURA AUAWE