TASWIRA ZA VURUGU JIJINI HONG KONG LEO
![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGh92riYQrhidk-NfP3B-ByKQm2Wvnmi2yPR4AbihdjXDYs*5y4qbh*FEdN8dxUxgs-C*59KnzPvO9IqgNuSM0pz/1.jpg)
Polisi wakikabiliana na waamdamanaji waliotaka kuingia bungeni jijini Hong Kong leo. Baadhi ya silaha walizotumia waandamanaji kujaribu kuingia bungeni. VURUGU zimezuka kati ya polisi na kundi dogo la waandamanaji waliokuwa wakitaka kuingia bungeni asubuhi hii jijini Hong Kong nchini…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7Mjb3aaC8YsII6bUim*aiDfdaBbBrAGY4O4uLbMxiYIc-bPbHRqQ9oR9f6OpyWfaomC-R5cAgIRxmoxudEIyg3IB/1.jpg)
VURUGU: POLISI WAPAMBANA NA WAANDAMANAJI HONG KONG
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hong Kong na utata wa uchaguzi
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Hong Kong si shwari tena
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wandamanaji wakesha Hong Kong
11 years ago
Salon20 Jan
Conservationists to Hong Kong: “Ivory is not art”
Salon
Salon
Conservationists to Hong Kong: Elephant tusks are displayed after being confiscated by Customs in Hong Kong. (Credit: AP/Kin Cheung). This article originally appeared on Hyperallergic. Hyperallergic. China's destruction of some 6.1 tons of seized ivory ...
Tanzania Still Undecided Over Ivory StockpilesAllAfrica.com
all 2
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Hong Kong yapinga mapendekezo ya Uchina
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Hong Kong:Waandamana kuipinga Uchina
10 years ago
StarTV03 Oct
Wanafunzi Hong Kong kukutana na serikali
Viongozi wa wanafunzi huko Hong Kong wamekubali kukutana na upande wa serikali kujadili malalamiko yao siku tano baada ya maandamano makubwa ya kupigania demokrasia.
Hiyo inafuatia mwaliko kutoka kwa mkuu wa utawala wa Hong Kong CY Leung. Alitoa taarifa hiyo muda mfupi kabla ya kumalizika kwa muda wa mwisho uliowekwa na wanafunzi hao waliotishia kuvamia majengo ya serikali iwapo mkuu huyo hatajiuzulu.
Muda wa mwisho uliowekwa na wanafunzi hao umemalizika salama.
Bwana Leung amesema...
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Hong Kong bado hali tete