TBC yaanza maandalizi NSSF CUP
WAKATI zimebaki siku chache kwa timu za waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuanza kinyang'anyiro cha kuwania ubingwa wa Kombe la NSSF, timu kongwe ya TBC imepokea vifaa vya michezo kutoka Kampuni ya Isere Sports kwa ajili ya michuano hiyo.
Katibu wa timu ya TBC, Jesse John alisema vikosi vyake vinajifua usiku na mchana kuhakikisha ukongwe wao katika fani ya habari unaonekana kwa ushindi wa uwanjani.
"Tunaishukuru Kampuni ya Isere kwa kutusaidia vifaa vya michezo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP YAANZA KUTIMUA MBIO
Akifungua mashindano hayo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, amewataka wanahabari nchini kuhakikisha wanajiunga na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ili kujihakikishia maisha ya amani na utulivu baada ya kustaafu.
Alisema kuwa, wanahabari wanapaswa kwenda...
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
NSSF CUP Jambo Leo wakimbia uwanja, Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF
Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.
Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69...
10 years ago
Michuzi22 Mar
NSSF MEDIA CUP: Jambo Leo watia mpira kwapani Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
THE MBONI SHOW yaanza kuunguruma January 2 ndani ya TBC
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu wa tatu wa kipindi chake ‘The Mboni Show’ kinachotarajia kuanza Jan 2, 2015. Kushoto ni kiti Simpompa na kuanzia kulia ni Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (PSPF) Magira Werema na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC,Bw.Fadhili Chilumba.
Kutoka Kulia Afisa Masoko wa Mfuko wa...
11 years ago
MichuziTBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil
11 years ago
MichuziMWENGE WA UHURU KUWASILI MKOANI SINGIDA,MAANDALIZI YAANZA
10 years ago
MichuziMorogoro yaanza maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
Mkoa wa Morogoro umeanza maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu.
Maandalizi hayo yameanza jana kwa semina ya siku mbili inayotolewa kwa waratibu wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika ngazi ya Mkoa na Wilaya za Mkoa wa Morogoro.Semina hiyo inalenga kutoa Elimu itakayowawezesha kutekeleza jukumu hilo katika...
10 years ago
Vijimambo15 Feb
NSSF yaanza rasmi usajili wa vijana Sports academy
Badhi ya wazazi wakiwasimamia watoto wao katika zoezi la kujaza fomu kwa ajili ya kujiunga na kituo kipya cha michezo cha NSSF-Real Madrid Academy. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kushirikiana na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, limezindua mchakato wa usajili wa vijana walio chini ya umri wa miaka 14, watakaochujwa kusaka nafasi ya kujiunga na NSSF–Real Madrid Sports Academy.
Mchakato huo wa usajili umefanyika leo kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es...
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Maandalizi Kagame Cup yaendelea