Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yaaanda mwongozo wa uchaguzi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeandaa rasimu ya mwongozo utakaofuatwa na vituo vya utangazaji wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na ule wa wabunge madiwani na Rais. Lengo la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TCRA yatoa mwongozo wa uchaguzi kwa vyombo vya habari

Ukiwa umesalia mwezi mmoja kuanza kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa rasimu ya mwongozo kwa vyombo vya habari vya utangazaji utakaongoza namna ya kuripoti habari zote za uchaguzi.

 

10 years ago

GPL

TCRA YAWATAKA WAMILIKI BLOGS KUZITUMIA VIZURI WAKATI WA UCHAGUZI

Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa, John Nkoma akizungumza na  Bloggers (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

TCRA YAENDESHA SEMINA KWA BLOGGERS KUHUSIANA NA SHERIA ZA UCHAGUZI NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof John Nkoma akijibu maswali ya wanablog wakati wa Mkutano na bloggers juu ya kuelimishwa juu ya sheria za uchaguziMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof John Nkoma akizungumza na wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blogs) wakati wa warsha kwa bloggers ambao umefanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar Es Salaam.Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Bw Assah Mwambene akichangia mada wakati wa mkutano...

 

9 years ago

Dewji Blog

TCRA yatoa angalizo kwa vyombo vya Habari utangazwaji matokeo ya uchaguzi mkuu

SHIGONGO-TCRA-SACCOS-2
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya. Mawasiliano Tanzania, (TCRA), Dk. Ally Yahaya Simba.

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari_ Matokeo Ya Uchaguzi Mkuu 2015 

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwongozo utumaji meseji waja

WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, ameagiza wataalamu  kutayarisha mwongozo kwa ajili ya kampuni za simu, utakaoelekeza jinsi ya kutuma meseji katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Bongokirisimasi, mwongozo kwa watalii

Duh! Kirisimasi imeshatuvamia tena? Yaani kama masika, dalili zake hujitokeza mapema na kuongezeka hadi siku ile yenyewe ambayo hatimaye mawingu yanaacha ubahili wao na kumwaga radhi kwa nguvu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe kupewa mwongozo leo

Kikao cha kwanza cha Bunge Maalumu la Katiba kinaanza leo mchana mjini hapa na kitaongozwa na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Thomas Kashililah na Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Yahya Khamis Hamad.

 

9 years ago

Habarileo

Azaki zapewa mwongozo kiutendaji

ASASI za Kiraia (Azaki) zinazojishughulisha na kuhamasisha utoaji elimu wa masuala mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, zimeshauriwa zinapotaka kufanya shughuli zao waonane kwanza na wakuu wa idara husika.

 

10 years ago

Habarileo

Mwongozo wa kutengeneza barabara wazinduliwa

Katibu Mkuu wa Tamisemi, Jumanne SaginiSERIKALI imezindua kitabu cha mwongozo wa matengenezo ya barabara za Wilaya na Halmashauri nchini kwa kushirikiana na shirika la misaada la Japan International Co-operation Agency utakaotumiwa na wahandisi wa wilaya husika katika kukarabati barabara zote nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani