Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA YAJIUNGA RASMI KAMA MWANACHAMA WA UMOJA YA WADHIBITI WA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI WA NCHI ZA ASIA (ASIAN HARMONIZATION WORKING PARTY- AHWP)

Mkurugenzi Mkuu  wa TFDA , Bw. Hiiti B. Sillo akitoa hotuba ya TFDA kukubali kujiunga na Umoja wa Nchi za Asia katika Udhibiti wa Vifaa Tiba na Vitendanishi (Asian Harmonization Working Party on medical devices and diagnostics - AHWP) wakati wa mkutano wa mwaka wa AHWP uliofanyika Seoul, Korea Kusini kuanzia tarehe 17 - 21 Novemba 2014. Tanzania imekubaliwa rasmi kuwa mwanachama 24 wa AHWP  ikiwa  ni  nchi  ya pili Barani Afrika kujiunga  na  umoja huo baada  ya Afrika Kusini. Mkurugenzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. ngella Kairuki akiteta jambo katika Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu iliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu wakifuatilia hoja na maelezo kutoka kwa Viongozi wa Serikali wakati wa Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu uliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Mwenyekiti wa Chama cha...

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.

Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.

Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.

Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...

 

11 years ago

TheCitizen

Raila in dilemma over working with foe party

The decision by some ODM big guns not to seek elective positions in the party or take an active role in its activities has triggered debate on whether they could be headed to the Jubilee government. It has also raised questions about the future of the Orange party.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Fredrick Sumaye Atangaza Rasmi kuwa Mwanachama wa Chadema.........Akabidhiwa Kadi na Mbowe

Waziri mkuu wa awamu ya tatu Mh.Fredirick Sumaye jana alitangaza rasmi kujiunga na chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) na akakabidhiwa kadi na Mwenyekiti wa chama hicho Mh.Freeman Mbowe. Sumaye ambaye wakati wa uchaguzi alitangaza kujiondoa CCM na kudai kuwa anaunga mkono mageuzi yanayofanywa na vyama vinavyounda katiba ya wananchi (UKAWA) bila kuweka wazi kuwa yuko

 

9 years ago

StarTV

   TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.

Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.

Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA   Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hospitali zakabidhiwa vifaa tiba

 TAASISI ya Mapafu imekabidhi vifaa tiba kwa hospitali za mikoa mitatu vitakavyosaidia kupunguza vifo vya watoto pindi wanapozaliwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ilala yapatiwa vifaa tiba

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala, imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni moja kutoka kampuni ya Double tree. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani