Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF: Atakayetuvuruga kama Okwi atakiona!

Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), umesema kuwa hautavumilia kuona wafanyakazi na wanachama wake wakivunja taratibu na kanuni ilizojiwekea, kwa faida ya maslahi yao binafsi. Hatua hiyo ya TFF imekuja ikiwa ni siku chache baada ya shirikisho hilo kumlalamikia mfanyakazi wake mmoja katika Kamati ya Maadili kutokana na kufanya udanganyifu katika suala la usajili wa mshambuliaji wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TFF yachemsha kwa Messi, Banda, Okwi

Katibu mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah amesema vitendo vinavyoendelea kufanywa vya kuvunja mikataba ya wachezaji na kuwatangaza kuwa huru ni hatari kwa maendeleo ya mpira na vinakiuka kanuni za Fifa.

 

11 years ago

GPL

JINA LA OKWI LARUDISHWA KWENYE KAMATI YA TFF

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemlalamikia mwanafamilia wa soka mmoja kwa Kamati ya Maadili kutokana na udanganyifu alioufanya katika suala la usajili wa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Tayari TFF imepata ufafanuzi kutoka Fifa kwamba Okwi anaweza kuendelea kuichezea Yanga, lakini TFF imeibuka tena na kudai Sabri Mtulla alilidanganya shirikisho hilo kuhusu usajili wa Mganda huyo. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Uongozi Yanga waishangaa TFF kumzuia Okwi

>Uongozi wa Yanga umeshangazwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumzuia mshambuliaji wao Emmanuel Okwi kucheza Ligi Kuu inayoanza kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kama Yanga sakata la Okwi

Siku chache baada ya watani zao Yanga kutaka ripoti ya mwamuzi ionyeshwe hadharani, uongozi wa  Simba nao umefuata nyao hizo kwa kutaka mwamuzi Kennedy Mapunda achukuliwe hatua kali za kinidhamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wapinzani wamuone Kinana kama Okwi anayepiga mashuti

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana ameishika nafasi hiyo tangu Novemba 2012. Kuanzia hapo hajapumzika wala kulala usingizi.

 

10 years ago

Michuzi

sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Utawala Bora wa klabu ya Young Africans Wakili Sam Mapande - kulia
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...

 

11 years ago

GPL

Wambura kama kawa, akata rufaa tena TFF

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura.
Na Waandishi Wetu
MGOMBEA wa nafasi ya urais kwenye Klabu ya Simba, Michael Wambura, ameonyesha kuwa yeye ni kiboko yao baada ya kukata tena rufaa kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Wambura aliwasilisha rufaa yake kwenye Kamati ya Rufaa ya TFF, jana, akipiga kitendo cha kuondolewa na Kamati ya Uchaguzi ya Simba kwa madai kuwa alipiga kampeni kabla ya...

 

10 years ago

Jamtz.Com

KAMA WEWE NI MBUNIFU TFF WANA DEAL KWA AJILI YAKO


Inawezekana ukawa una ubunifu wako lakini ukawa unashindwa wapi utaupeleka na kupata pesa halali ya Kitanzania sasa mchongo huu hapa ambao wameutoa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwakaribisha wabunifu.
Unachotakiwa kufanya ni kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa zitakazokuwa zikitumiwa kwa mechi za nyumbani na ugenini na ubunifu ni lazima uzingatie rangi za bendera ya Taifa.
Mkwanja walioutoa kwa Mshindi wa jezi ya nyumbani atapata sh. 1,000,000 (milioni moja), na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani