Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF ingefanya haya kupata uzoefu

Katikati ya wiki iliyopita, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kupitia Rais wake Jamal Malinzi, lilitangaza kusitishwa kwa matumizi ya tiketi za elektroniki kwa sababu mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kwesi Appiah kupata uzoefu Liverpool

Kocha wa timu ya taifa ya Ghana ,Kwesi Appiah anazuru klabu ya Liverpool mwezi huu kupata uzoefu

 

5 years ago

Michuzi

MKWIRU NA USHIRIKA WAKE ONE TEAM KUIPAISHA TIMU YA MWAMBISI SEK KUPATA UZOEFU GERMAN

 NA MWAMVUA MWINYI, PWANI

WADAU wa michezo kutoka German One Team kwa ushirika na Ibrahim Mkwiru ,wameeleza ndoto yao ya kuchukua timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kike, katika shule ya sekondari ya Mwambisi kwenda nchini Ujeruman kuchota uzoefu na timu nyingine za shule za sekondari nchini humo ili kuwa na uzoefu.

Aidha ushirika huo,umeeleza mpira wa miguu sio kwa ajili ya watoto wa kiume pekee hivyo watoto wa kike wanapaswa kujiandaa kuucheza kuanzia mashuleni ili kuweza kuchukuliwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fanya haya kupata ujauzito haraka

BAADA ya kufanya maandalizi ya muda mrefu kujiweka tayari kwa ajili ya kupata ujauzito na kuwa mzazi, umewadia wakati wa kuutafuta huo ujauzito kwa vitendo. Kuna mambo mengi sana yanayosemwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi daraja la 1 kupata udhamini:TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kupata mdhamini wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL).

 

11 years ago

Habarileo

'Vijana jitoleeni mpate uzoefu'

MOYO wa kujitolea kwa baadhi ya vijana haupo kutokana na wengi wao kutoandaliwa katika mazingira ya kuwahamasisha kujitolea na wengine kutopenda kufanya hivyo. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga wakati akifungua semina elekezi kwa vijana wa kujitolea 27.

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri watumie uzoefu wa ASP

AKINAMAMA wa CCM pamoja na jumuiya zake wametakiwa kutumia uzoefu wa wenzao wa Chama cha Afro Shirazi Party (ASP), ambao walipata mafanikio makubwa na kuendesha miradi yao kwa faida.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla: Urais hauhitaji uzoefu

>Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dk Hamis Kigwangalla ametangaza kwa mara ya pili  kuwania urais wa Tanzania akitoa vipaumbele vitatu na kufafanua kuwa urais hauhitaji uzoefu.

 

9 years ago

Habarileo

Uzoefu, busara kumbeba Spika

WABUNGE jana walianza kujisajili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 11 wiki ijayo, huku wengi wao wakitoa maoni ya sifa wanazozitaka kwa Spika mpya wa Bunge hilo, zikiwemo uzoefu, busara, kujua kanuni na mwenye utayari wa kuyakabili mabadiliko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani