TFF kumsaidia Lunyamila
SHIRIKISHO La Soka Tanzania (TFF), limejitosa katika harakati za kumsaidia nyota wa zamani wa klabu ya Yanga na timu za taifa za Tanzania, Edibily Jonas Lunyamila, aliyelazwa katika Hospitali ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Lunyamila aionya Yanga
Mchezaji wa zamani wa Yanga, Edibily Lunyamila amewaonya Wanayanga wanaoanzisha malumbano na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji kuwa makini wasisababishe vurugu.
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Lunyamila azichambua Azam FC, Yanga SC
 Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Edibily Lunyamila amezichambua Azam na Yanga na kuzitaka ziondoe upungufu uliomo kwenye vikosi vyao kabla ya kuanza kwa michuano ya Afrika baadaye mwaka huu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6qQyqsR5mRhBGiaUjLtpVdjopfJSkb8YF4xpM-BnwOikhpQ4zFdt4HvHCftSfKT7az4woT9rq3Jaw3RjuB8iBsu/1IOIOOO.jpg)
Lunyamila asimamisha usajili Yanga
Winga wa zamani wa Yanga, Edibily Lunyamila. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam
WAKATI Yanga ikipiga hesabu za kusajili baadhi ya wachezaji kutoka timu za Ligi Kuu Bara kuimarisha kikosi chake, winga wa zamani wa timu hiyo, Edibily Lunyamila amesema haina haja kwa klabu hiyo kusajili wachezaji wa ndani. Badala yake Lunyamila akasisitiza, Yanga inapaswa kusajili wachezaji au mchezaji wa kigeni mzoefu ili ifanye vizuri katika Ligi ya...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Kocha Maximo awagawa Chambua,Lunyamila
Kiwango duni cha uchezaji Yanga kimewatia kiwewe mashabiki, wanachama na baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu hiyo wanaodai kocha Marcio Maximo ndiye chanzo lazima awajibiashwe.
11 years ago
Mwananchi18 May
Wajitokeza kumsaidia Kiwele
Siku moja baada ya Gazeti la Mwananchi kuandika makala ikimuhusu kijana Frank Kiwele akiomba msaada kutokana na kusumbuliwa na tatizo la kibofu cha mkojo na njia ya haja kubwa, wasamaria wema wameanza kujitokeza kumchangia fedha kwa ajili ya matibabu.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XxSZlVGZjAY/U-4zNtS7QuI/AAAAAAAF_6U/-U8Gja-LiyE/s72-c/download%2B(1).jpg)
MWAMEJA, MANYIKA, PAWASA, LUNYAMILA NA MMACHINGA WAITWA KUIVAA REAL MADRID, MAKOCHA WAO MKWASA, MINZIRO NA JULIO
![](http://3.bp.blogspot.com/-XxSZlVGZjAY/U-4zNtS7QuI/AAAAAAAF_6U/-U8Gja-LiyE/s1600/download%2B(1).jpg)
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
MAKIPA maarufu waliowahi kuwika nchini, Mohamed Mwameja na Peter Manyika Peter wamejumuishwa katika kikosi cha Tanzania All Stars kitakachomenyana na magwiji wa Real Madrid ya Hispania, Agosti 23, mwaka huu jijini Dar es salaam.
Chini ya makocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ na Wasaidizi Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, Daktari Mwanandi Mkwankemwa na viongozi Mtemi Ramadhani, Hassan Mnyenye, Omar Gumbo na Hamisi Kisiwa kikosi hicho kitaingia...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Kificho ateua washauri 20 kumsaidia
Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, ameteua timu ya wajumbe 20 wa bunge hilo kwa ajili ya kumsaidia katika mchakato wa kuandaa rasimu ya kanuni za uendeshaji wa chombo hicho.
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
WOLAT yajitokeza kumsaidia mjane
KITUO cha Msaada wa Kisheria kwa Wajane, Wagane na Yatima (WOLAT), kimeazimia kumpatia msaada wa kisheria Latifa Rwayemamu. Hatua hiyo inakuja kufuatia makala iliyoandikwa na mwandishi mkongwe Ndimara Tegambwage kupitia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor98tgpgf2JpYHfXiC8Oet9qTiSwb5kASOq55DwSvBFn6EvqGXv55VS5x9lj8-FBN9iRlvE6um473cFrNX7mkfQSO/RayC.jpg?width=650)
RAY C AAPA KUMSAIDIA DAZ BABA
Na Hamida Hassan
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameapa kumsaidia mwanamuziki mwenzake David Jacob ‘Daz Baba’ anayedaiwa kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Chanzo chetu cha kuaminika kimeeleza kuwa, Ray C amekuwa akiumizwa na hali aliyonayo Daz Baba na amefanya kila awezavyo hadi kuongea naye ili aanze kutumia dozi ya Methadone ambayo wengi huipata katika Hospitali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania