Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA TAIFA YA VIJANA YA TANZANIA YAICHAPA KENYA

Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania wenye umri wa miaka 20 wakishangilia baada ya kusonga mbele kwenye safari ya kufuzu Fainali za Kombe la mataifa baada ya kuilaza Kenya kwa mikwaju ya Penalti 4-3 kwenye mechi ya marudiano iliyochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam siku ya…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaichapa Kenya 4-3

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20 imesonga mbele kuilaza Kenya kwa mikwaju ya Penalti 4-3

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzania yaichapa Kenya -Beach Soccer .



Mpira wa Ufukweni timu ya Tanzania
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni (Beach Soccer) jana imeibuka na ushindi wa mabao 5- 3 ugenini dhidi wa wenyeji timu ya Taifa ya Kenya kwenye mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa fukwe za Hotel ya Big Tree Pirates jijini Mombasa.Katika mchezo huo mabao ya Tanzania yalifungwa na Ali Rabbi mabao manne na Mwalimu Akida bao moja .
Kipindi cha kwanza kilimazika kwa Tanzania kupata mabao 2 Kenya 1, kipindi cha pili kilimalizika Tanzania 4...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAPIGA TAFU TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA MIAKA 17

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa (kushoto) akimuongoza mchezaji wa zamani wa Manchester United Andy Cole kwenda kuwafunda vijana wa timu ya Taifa chini ya miaka 17. Shughuli hiyo ilifanyika jana Dar es Salaam katika viwanja vya Karume mara baada ya mchezaji huyo kuzuru/kutembelea ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Airtel Tanzania Bwana Sunil Colaso.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA TANZANIA "TAIFA STARS" YAENDELEA KUJIFUA

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakiwa katika mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya ...

 

5 years ago

Michuzi

TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA

Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yatinga hatua ya timu 16 SHIMIWI

01

Wachezaji wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiomba dua kabla ya mchezo wa hatua ya mtoano katika mashindano ya SHIMIWI  uwanja wa Chuo Kikuu chaa Kilimo (SUA).

(Na Eleuteri Mangi – MAELEZO)

Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imeibuka kidedea kwa kuifunga timu ya  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mikwaju ya penati 4 – 3.

Ushindi huo wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania Ubelgiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHI JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi  wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania  Ubeligiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia  Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa. Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani