Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu ya Uganda ya riadha yaondoka

Timu ya Uganda inayokwenda kushiriki mashindano ya riadha ya dunia imekabidhiwa bendera ya taifa tayari kuondoka leo usiku.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)

 Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi  jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), kushoto aliyevaa suti ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo.  Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) jana jioni  tayari kwa kuanza safari ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda mwenyeji riadha Afrika

Uganda itakuwa mwenyeji wa michuano ya riadha ya Afrika itakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu nchi za Afrika kushiriki.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland

ta6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.(PICHA NA IKULU).

ta1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015

Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano  ya  mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania  Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...

 

11 years ago

GPL

VODACOM ILIVYOZIKUTANISHA TIMU ZA WABUNGE WA ZANZIBAR, MUUNGANO NA UGANDA MIAKA 50 YA MAPINDUZI‏

Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Vodacom Hassan Saleh akimkabidhi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho kombe lililotolewa na Vodacom kwa ajili ya mshindi wa mechi maalum kati ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Wabunge wa Bunge la Tanzania kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mchezo huo ulichezwa kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar na kufadhiliwa na Vodacom Tanzania.
Spika...

 

5 years ago

Michuzi

BOB MAKANI- MTANZANIA KIPANGA ALIYEKUWA NA TALANTA LUKUKI NA KUCHEZEA TIMU YA TAIFA YA UGANDA 'GOSSAGE CUP'.


By MZEE WA _ATIKALI  ✍️✍️✍️


1. Usuli

Bongolanders  walimjua marehemu BOB NYANGA  MAKANI kama Mwanasiasa mahiri. Lakini, wengi hawajui kwamba BOB alikuwa ni kipanga aliyejaaliwa talanta lukuki na alifanya mambo mengi ya kipekee na yasiyo mfanowe ikiwemo kuichezea Timu ya Taifa ya Uganda kwenye michuano ya "Gossage Cup" kabla ya Uhuru, licha ya kuwa Mtanzania!.

Hivyo, ATIKALI hii inammyambua marehemu BOB NYANGA MAKANI toka anazaliwa hadi umauti unamfika huku ikitanabaisha talanta zake hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndege iliyonasa Arusha yaondoka

NDEGE aina ya boeing 767 ya Shirika la Ndege la Ethiopia iliyokuwa imenasa kwenye tope Desemba 18, mwaka huu katika uwanja mdogo wa ndege wa Kilimo Anga, Kisongo jijini Arusha,...

 

9 years ago

Habarileo

Kili Stars yaondoka na matumaini kibao

WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ iliondoka jana alfajiri kwenda Ethiopia kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi leo, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Kibadeni amejigamba kuwa timu hiyo itafanya vizuri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani