TRA, ATAF kukutana Dar
MAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharib Billal anatajiwa kufungua mkutano mkuu wa Taasisi za Kodi Afrika (ATAF) utakaanza Septemba 16 hadi 19 mwaka huu. Mkutano huo umeandaliwa na Mamlaka ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA ATAF
10 years ago
IPPmedia22 Sep
ATAF sponsors Tanzania tax experts to study in Germany
IPPmedia
ATAF sponsors Tanzania tax experts to study in Germany
IPPmedia
Three Tanzanian tax experts will benefit from a scholarship provided by the Africa Tax Administrating Forum (ATAF) to attend studies in Germany. The award will also be extended to 24 tax experts from other African countries. Speaking at the just ended 3rd ...
URA to represent EAC on continental tax councilThe Observer (blog)
all 2
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Makandarasi 900 kukutana Dar
BODI ya Makandarasi Nchini (CRB), imeandaa mkutano wa wadau wa sekta ya ujenzi ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na wanataaluma wa fani ya ujenzi wapatao 900 kutoka mikoa mbalimbali nchini na nje...
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Wauzaji mafuta ya petroli kukutana Dar
CHAMA cha vituo vya mafuta ya Petroli nchini, Tanzania Petrol Stations Operators (TAPSOA), kimepanga kukutana na wanachama wake kujadili mambo mbalimbali yanayokihusu na kubadilishana mawazo katika changamoto mbalimbali zinazowaandama wanachama...
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Wahitimu Kibasila 1998 kukutana Dar
WANAFUNZI waliosoma Shule ya Sekondari Kibasila na kuhitimu mwaka 1998, wanatarajia kukukutana na kufanya hafla fupi jijini Dar es Salaam, Mei 10 mwaka huu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...
9 years ago
Bongo505 Jan
Wasanii wa Bongo kukutana Dar leo
Wasanii wa Tanzania Jumanne hii wanakutana jijini Dar es Salaam kuzungumza masuala mbalimbali kuhusu mustakabali wa tasnia yao.
Mkutano huu utafanyika kwenye ukumbi wa Little Theater uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wasanii wote wamealikwa kushiriki.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Habarileo10 Nov
Maaskofu, wachungaji kukutana Dar wiki hii
MAASKOFU pamoja na wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wanatarajia kushiriki katika mkutano wa kitaifa wiki hii jijini Dar es Salaam, ambao timu ya wataalamu 15 wa masuala ya biashara kutoka Nigeria, watazungumza.
9 years ago
Vijimambo04 Sep
DR SLAA AKIRI KUKUTANA NA MWAKYEMBE SIKU MOJA KABLA YA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI, AMWAMBIA LISSU AONYESHE VOCHA YA YEYE KUCHUKUA MSHAHARA CHADEMA
SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia mgombea...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Wanawake viongozi wa michezo Afrika kukutana Dar es Salaam
WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Asasi ya Right to Play Tawi la Tanzania, wameandaa kongamano la wanawake viongozi wa michezo Afrika (Africa Women Sports Leaders),...