Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Trafiki Ikulu waongoza waandishi

>Katika hali isiyo ya kawaida juzi jioni, Ikulu iliwasindikiza waandishi wa habari kurejea ofisini kwao kwa kutumia askari wa usalama barabarani, waliowaongoza ili kukwepa msongamano wa magari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Leicester waongoza jedwali la EPL

Baada ya kugawana muda wa kuwa kileleni mwa ligi kuu ya soka nchini Uingereza, hatimaye vigogo Arsenal na Manchester city wamesalimu amri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wasiotaka kujitenga Scotland waongoza

Matokeo ya awali ya kura ya maoni ya uhuru wa Scotland yameanza kutolewa huku wasiotaka kujitenga wakiongoza.

 

11 years ago

Mwananchi

Waongoza watalii wamlilia RC Gama

 Chama cha Waongoza Watalii Mlima Kilimanjaro na Meru (Kili-Meru) kimemuomba mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kuwatafutia maeneo ya kilimo katika mikoa mingine ili waweze kujikita zaidi kwenye kilimo badala ya kutegemea kazi ya kuongoza watalii pekee.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uingereza: Cameron na Conservatives waongoza

Chama cha Conservatives cha waziri mkuu wa Uingereza David Cameron anaelekea kusajili ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Watano waongoza kuchangia bungeni

>Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba, Februari 18 mwaka huu,  wajumbe watano  wanaonekana kuwa ndio wachangiaji wakuu katika mjadala wa Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mishahara ya wapagazi, waongoza watalii yapanda

Hatimaye mgogoro wa malipo ya waongoza na wabeba mizigo ya watalii umemalizika, baada ya mawakala wa utalii na wadau kufikia makubaliano ya kuwaongezea ujira kuanzia Januari mosi mwakani.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mgimwa awapa darasa waongoza watalii


NA JAMES LANKA, MOSHI
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mahmoud Mgimwa, amewataka waongoza watalii kuhakikisha wanapewa  mikataba halali ya kazi na wamiliki wa kampuni wanayofanyakazi ili kuepuka kunyonywa haki zao. 
Mgimwa alitoa rai katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Waongoza Watalii Mlima Kilimanjaro (KGA), kilichofanyika juzi mjini hapa.
Mwenyekiti wa chama hicho, Respicius Baitwa, alimueleza naibu waziri kuwa,  pamoja na ugumu wa kazi yao, baadhi ya wamiliki wa kampuni za utalii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani