Tuchangie Maendeleo Kama Tunavyochangia Harusi
Na Daniel Mbega HIVI karibuni nilikuwa jijini Dar es Salaam na nikapata fursa Jumamosi kwenda pale Msimbazi Centre nyakati za jioni. Mandhari ya eneo hili wakati huu wa jioni huwa yamebadilika mno tofauti na nyakati za asubuhi au mchana. Uwanja wote mbele ya ukumbi huu mkubwa kabisa wa Marantha ulikuwa umefurika watu kweli kweli, wameketi vikundi vikundi. Awali nilidhani kuna sherehe kubwa hapa wakati wenyeji wangu waliponiambia nitawakuta pale, lakini nikaambiwa vikundi hivyo ninavyoviona...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-H1clHA6zHAs/VOWS1gTUuOI/AAAAAAAAHkA/Ez6l2ZC7Qcw/s72-c/Indian-Wedding-Photos-151.jpg)
BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO
![](http://2.bp.blogspot.com/-H1clHA6zHAs/VOWS1gTUuOI/AAAAAAAAHkA/Ez6l2ZC7Qcw/s640/Indian-Wedding-Photos-151.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRPHilWv3-MNK8dz3cIosPtjBiVE9kdrP*GeoedwbveyiFqHVnwQEZGv-4afLpchDfRF9TmBNKyg5hH*y8xKIqmR/wedding2.jpg?width=650)
JAMANI! NDOA ISISHIKILIWE KAMA GAUNI LA HARUSI
10 years ago
Bongo Movies14 Apr
Picha: ‘Bethidei Pati’ ya Mtoto wa Odama Kama Harusi!
Staa mrembo wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefanya kufuru ya aina yake baada ya kumwandalia mwanaye, Janson bonge la sherehe ya kuzaliwa (bethidei), aliyekuwa akitimiza mwaka mmoja iliyokuwa kama harusi.
Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibwena Bongo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Beach, Kinondoni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo shughuli nzima ilikuwa imeandaliwa kama harusi ambapo kwa mujibu wa waandaaji iliteketeza mamilioni ya shilingi yanayodaiwa kumwagwa na...
9 years ago
Bongo521 Dec
Sakata la TBC kurusha harusi live: Mtaalam wa habari na aliyefanya kazi hapo afanunua kama ni kosa!
![tbc.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tbc.-300x194.jpg)
Serikali imeliagiza shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kutoa maelezo ya kina baada ya kurusha matangazo ya moja kwa moja sherehe za harusi kwa zaidi ya saa mbili, jambo lilihojiwa na wananchi maeneo mbalimbali hasa katika mitandao ya jamii.
Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kupata malalamiko mengi kwa kile kilichokuwa kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha TBC1 cha shirika hilo linaloendeshwa kwa ruzuku kutoka Serikalini.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Habari, Utamaduni,...
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Hakuna maendeleo kama hatujaelimika
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...