Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tucta hapatoshi, Mgaya kikaangoni

Uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) umetakiwa kujiuzulu kwa tuhuma za kushindwa kuliongoza kifaida shirikisho hilo, huku Katibu Mkuu wake akiwekwa kikaangoni akidaiwa kuhusika na hali hiyo na kung’ang’ania madaraka licha ya muda wake wa kustaafu kufika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA MZEE MGAYA

Familia ya mzee Richard Azza Mgaya inasikitika kutangaza kifo cha baba yao Mzee Richard Mgaya kilichotokea hospitali ya Apollo - India. Mwili wa marehemu utawasili Kilimanjaro International Airport tarehe 28/05/2015 saa nane mchana, msiba uko nyumbani kwake Arusha no. 59 Themi Hill. Marehemu ataagwa Ijumaa tarehe 29/05/2015 saa 6mchana katika kanisa la waadventista wa sabato Njiro Arusha.Mazishi yatafanyika Jumamosi tarehe 30/05/2015  Mamba Miamba - Same Kilimanjaro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgaya: Serikali inamdharau CAG

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholous Mgaya, amesema serikali inamdharau Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

5 years ago

Michuzi

NYUNGU YA MWAROBAINI HAINA MADHARA-PROF. MGAYA

Na WAMJW-Dar es SalaamWANANCHI wametakiwa kuendelea kujifukiza kwa kutumia miti na mimea ya asili ikiwemo mwarobaini katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Prof. Yunus Mgaya ametoa rai hiyo leo jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa mti wa mwarobaini hauna madhara yeyote bali ni mti wenye manufaa kwa tiba asili/mbadala ya magonjwa mbalimbali.
Prof. Mgaya amesema kumekuwepo na upotoshaji katika baadhi ya mitandao ya jamii ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA



Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MSTAAFU PHILEMONI MGAYA ASHEREHEKEA MIAKA 85 YA KUZALIWA

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Alex Malasusa pamoja na IGP mstaafu Mzee Philemon Mgaya wakati wa sherehe hiyo iliyofana sana iliyofanyika katika Hotel ya Protea Court Yard jijini Dar es Salaam.IGP Mstaafu Mzee Philemon Mgaya akipokea zawadi
IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akikata keki huku amezungukwa na wajukuu wake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

HEPI BETHDEI YA KUZALIWA MTOTO Nasria Salum Mgaya

 Mtoto Nasria Salum Mgaya akiwa kabebwa na baba yake. Katikati ni mama yake na kushoto ni mama yake mdogo Farashuu Tozzo. Nasria akiwa katika matukio tofauti pamoja na ma mdogo Farashuu,chini yake ni ma mdogo rehema,na kulia nasria akizima mshumaa. Nasria akifanya mpango wa kukata keki yake mwenyewe

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE CHALINZE, RAMADHANI MGAYA AJERUHIWA KWA MAPANGA

MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya (pichani juu) kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana. Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usiku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze. "Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa Chadema kwa kunisaidia," alisema Mgaya....

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA WA AFP CHALINZE RAMADHANI MGAYA AJINADI KWA WANANCHI

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na  Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la sokoni Chalinze mjini Kata ya Bwilingu Chalinze.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgayaakijinadi kwa wananchi wa jimbo la Chalinze wakati wa kampeni zake za kuwania Ubunge jimboni humo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya watanzania waishio Thailand wamchagua Bw. Maumba Mgaya kuwa Mwenyekiti wa TIT

Meza Kuu , Kutoka Kushoto ni Ndugu Maumba Mgaya, Mwenyekiti wa Jumuiya, Bi Magreth Mjindo na Ndugu Andrew Katibu

Meza Kuu , Kutoka Kushoto ni Ndugu Maumba Mgaya, Mwenyekiti wa Jumuiya, Bi Magreth Mjindo na Ndugu Andrew Katibu.

Mnano tarehe 7/11/2015, Jumuiya ya watanzania waishio nchini Thailand ilikutana na kujadiliana mambo mbalimbali ya jinsi gani wanaweza kusaidiana katika mambo mbalimbali, TIT ilianzishwa mnano mwezi wa nne mwaka, 2015 na inahusisha watanzania mbalimbali, wanafunzi,wafanyabishara na wafanyakazi waishio na kufanya nchini Thailand. Mkutano mkuu wa Jumuiya ulifanyika katika Hoteli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani