TUCTA yakumbuka wenzao waliolazwa
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limetumia zaidi ya sh milioni mbili kuwasaidia wafanyakazi wenzao waliolazwa hospitalini kutokana na matatizo ya kiafya. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi wakati...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Rwanda yakumbuka mauaji ya Kimbari
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Yanga SC yakumbuka shuka mapambazuko
BAADA ya kutulizwa na maafande wa Mgambo JKT katika mchezo uliopita, mabingwa watetezi Yanga, jana walizinduka na kuwashushia kichapo cha mabao 5-1 JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu ya...
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Japan yakumbuka shambulio la Heroshima
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Simba yakumbuka marashi ya ‘Zenji’
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu Mzambia, Patrick Phiri, kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo kwenda Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Jumamosi...
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Pakistan yakumbuka shambulio lililoua 150
9 years ago
BBCSwahili03 Sep
China yakumbuka ushindi dhidi ya Japan
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Nagasaki yakumbuka bomu iliyoua watu elfu 70
11 years ago
Mwananchi09 Mar
JK awatembelea Maranda, Mkambala waliolazwa Moi
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s72-c/blog13.jpg)
TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s640/blog13.jpg)
Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...