Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumewatelekeza wazee, nasi tunaelekea njia yao— (2)

Makala ya Jumapili iliyopita imeniletea simu zaidi ya 43 kutoka kwa wazee mbalimbali wa mikoani, ujumbe mfupi pia uliletwa kwa mamia na nisingeweza kusema kila malalamiko waliyotanabaisha wazee wote. Mama Temba kutoka Dar es Salaam ni mstaafu, yeye alifanya kazi serikalini tangu mwaka 1966 na kustaafu mwaka 1998, huyu aliitumikia Serikali kwa miaka 32, aliniambia “…..Mwanangu pamoja na utumishi wote huo hivi sasa na uzee huu Serikali hainipi pensheni inayozidi au kufikia...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tumewatelekeza wazee, nasi tunaelekea njia yao— (1)

Makala hii itaangazia masuala ya wazee hapa nchini Tanzania. Leo tutaanza na masuala ya wazee kwa ujumla na Jumapili ijayo tutaendelea na sehemu ya pili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazee Kyela wajutia kauli yao

WAZEE kutoka Kata ya Ipinda wilayani hapa Mkoa wa Mbeya, wamejutia kauli waliyoitoa kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa, kuwa chaguo lao ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee Misungwi waomba wizara yao

WAZEE wilayani Misungwi, mkoani Mwanza, wameitaka serikali kuwaundia wizara yao itakayosaidia kutekeleza sera ya huduma mbalimbali kwa wazee kama ilivyo katika kundi la vijana. Ombi hilo lilitolewa na washiriki wa...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA BIMA(NHIF) YA KIGOMA WAWAKUMBUKA WAZEE LEO KATIKA SIKU YAO.

Baadhi ya wafanyakazi wa mfuko wa bima ya afya NHIF kigoma wakikabidhi msaada wa vyakula kwa uongozi wa kituo cha Silabu cha kulelea wazee wasiojiweza ikiwa leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya wazee duniani. Meneja wa Mfuko wa bima NHIF  ya kigoma akisalimiana na wazee wanaotunzwa katika kambi ya Silabu kata ya kibiriziBaadhi ya wazee wasiojiweza wanaoishi na kutunzwa katika kambi ya kulea wazee ya Silabu kata ya Kibirizi Mkoani hapa


 

Na Editha Karlo.KigomaMFUKO wa Bima ya afya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bila ya umoja wa kitaifa tunaelekea kubaya

Kwa hali ilivyo Tanzania inahitaji chombo cha kujenga umoja. Lakini kisiwe chini ya vyama vya siasa, dini, ukanda wala ukabila.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa hili la Katiba, tumetoka kwenye mwanga tunaelekea gizani

Tukio la kushambuliwa kwa mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba ni kiashiria tosha kuwa nchi iko katika hali tete na inaweza kupasuka siku si nyingi.

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani