Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tusihusishe urais 2015 na kero za wananchi’

WANASIASA wanaokusudia kuwania nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwakani, wametahadharishwa kutohusisha malalamiko na kero mbalimbali za wananchi na masuala ya urais, badala yake watafute mbinu za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Kero za wananchi zisihusishwe na urais’

Mwenyekiti wa CCM mkoani Shinyanga, Khamis Mgeja amewatahadharisha wanasiasa na watendaji wa Serikali nchini kutohusisha kero na malalamiko yanayotolewa na wananchi na watu wanaousaka urais wa mwaka 2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika kusikiliza kero za wananchi

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika leo anakutana na wananchi wenye makazi pembezoni mwa barabara ya Morogoro waliothirika na nyongeza ya hifadhi kinyume cha sheria ya ardhi na amri ya Mahakama Kuu.

 

10 years ago

GPL

KERO YA MAJI INAVYOWATESA WANANCHI SENGEREMA

Sengerema ni moja kati ya wilaya saba zinazounda Mkoa wa Mwanza. Upande wa Kaskazini na Mashariki imezungukwa na Ziwa Victoria, upande wa Kusini kuna Mkoa wa Geita na Kusini Mashariki kuna Wilaya ya Misungwi.
Ndani ya Wilaya ya Sengerema, kuna majimbo mawili ya uchaguzi, Buchosa na Sengerema. Wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari mpaka kwenye Jimbo la Sengerema linaloongozwa na Mheshimiwa William Ngeleja.  MATATIZO YA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara Bunda kero kwa wananchi

ABIRIA wanaopita kwenye barabara ya Bunda-Ukerewe, wamelalamikia ubovu wa barabara hiyo na kuiomba serikali kuwaondolea kero hiyo. Baadhi ya wananchi hao wakiwemo madereva wa magari ya abiria pamoja na mizigo,...

 

10 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KERO KWA WANANCHI DAR

Watembea kwa miguu wakipita kwa tabu eneo la Afrika-Sana. Magari pamoja na Bajaj zikionekana kupita kwa tabu eneo la Afrika-Sana Eneo la Bamaga…

 

9 years ago

StarTV

Madiwani Iringa wahimizwa kutatua kero za wananchi

Baraza jipya la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Iringa limezinduliwa rasmi huku madiwani hao wakitarajiwa kuanza mara moja kukabiliana na changamoto ya njaa inayoikabili wilaya hiyo.

Zaidi ya watu 70,000 wanakabiliwa na Baa la njaa katika vijiji 43 vya kata tisa katika wilaya hiyo huku Tarafa ya Isimani ikiwa imeathirika zaidi.

Mh.Ponsiano Kayage, mmoja wa madiwani 40 wa halmashauri hiyo wakati akiapa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Iringa katika Mkutano maalum...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI: UKAHABA NA UKABAJI NI KERO KUBWA TEMEKE

Temeke ni moja kati ya wilaya tatu zinazounda Jiji la Dar es Salaam. Pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Abbas Mtemvu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).Temeke inapatikana Kusini mwa Jiji la Dar es Salaam ambapo kwa upande wa Mashariki, kuna Bahari ya Hindi, Kusini inapakana na Wilaya ya Mkuranga na Kaskazini na Magharibi inapakana na Wilaya ya Ilala. Mheshimiwa Abbas Mtemvu. Wiki iliyopita, Uwazi lilisaga...

 

9 years ago

StarTV

Mbunge wa Ukonga Waitara Mwita kuzishughulikia Kero Za Wananchi

 

Mbunge wa Jimbo la Ukonga Waitara Mwita amewahakikishia wakazi wa jimbo hilo kuendelea kutatua kero zinazowakabili ikiwemo miundombinu ya barabara ambayo inachangia kurudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo.

Amesema ataendelea kutafuta njia mbalimbali za kumaliza changamoto katika jimbo la Ukonga kwa kuboresha huduma za kijamii na kiuchumi ili kuwawezesha wananchi kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini.

Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwashukuru wakazi hao wa kata ya Gongolamboto...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge mteule wa Busanda ahidi kutatua kero za wananchi Geita

SAMSUNG CAMERA PICTURES

 Msimamizi  wa Uchaguzi, Ali Kidwaka akitangaza matokeo ya Ubunge jimbo la Busanda na Geita.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Mbunge mteule wa Busanda Bi Lolesia Bukwimba akiongea na Wanahabari mara baaada ya kutangazwa mshindi.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Diwani Mteule wa kata ya Lwamgasa jimbo la Busanda, Joseph Kaparatus akishangilia  ushindi baada ya kutangazwa kuwa mshindi.

Na Alphonce Kabilondo, Geita

MBUNGE mteule wa jimbo la Busanda wilayani Geita (CCM), Bi. Lolesia Jeremia Bukwimba amesema kuwa atahakikisha ana shirikiana na wananchi wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani