Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tusisubiri ebola hadi iingie nchini

EBOLA ni miongoni mwa magonjwa hatari duniani, ambao unasambaa kwa kasi na kuzusha hofu hivi sasa kwenye mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Ugonjwa huo, ambao unasambaa kwa kasi kutoka kwa mtu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Nigeria yafunga Shule hadi Oktoba

Nigeria imeahirisha siku ya ufunguzi wa shule hadi Oktoba ili kuzuia kuenea zaidi kwa Ebola

 

9 years ago

Raia Mwema

Tusisubiri subra ikatike, tulimalize la Z’bar

KUMEKUWA na taarifa zisizo za kuvutia kiusalama kutoka Zanzibar katika kipindi cha siku saba zili

Ezekiel Kamwaga

 

11 years ago

Mwananchi

Tusisubiri CNN wataje mchango wa Tanzania Kusini mwa Afrika

Wakati dunia bado ingali kwenye maombelezo ya shujaa wa Afrika, Mzee Nelson Mandela, tunashuhudia ukimya wa vyombo vya habari vya kimagharibi katika kuutambua mchango wa Tanzania kwenye harakari za kupigania ukombozi wa nchi za Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania tujifunze kuweka afya mikononi, tusisubiri kudra ya wakubwa au mungu-3

Miaka yote niliyosafiri na kuishi ughaibuni nimebaini siri moja kuhusu afya. Wananchi wengi duniani hawaijali miili hadi wanapougua.

 

11 years ago

Michuzi

TAKWIMU ZA MTANDAO WA UMEME NCHINI TOKA 2005 HADI MACHI 2014


 Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa. Waziri wa Nishati na Madini  Sospeter Muhongo

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa Sudan kusini Salva Kiir apunguza majimbo nchini humo kutoka 32 hadi 10

Tangazo la hivi karibuni la rais wa Sudan kusini Salva Kiir kwamba amepunguza majimbo nchini humo kutoka 32 hadi 10 ni tamko ambalo limepokelewa kwa hisia tofauti ndani na nje ya taifa hilo.

Kiongozi wa upinzani ambaye pia ni makamu wa rais wa zamani Daktari Riek Machar amekaribisha tanganzo hilo la bwana Kiir na kusema ni hatua muhimu katika mchakato wa kuleta amani ya kudumu katika taifa hilo changa duniani ambalo limezongwa na mapigano ya umwakigaji damu ya wenyewe kwa wenyewe.

Siku ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAISHA YA MILIMA NA MABONDE YA NGULI WA MUZIKI WA NCHINI MAFUMU BILAL BOMBENGA HADI KIFO KILIPOMKUTA MEI 11 ,2020

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV 
PIGO kubwa limeipata familia ya muziki wa dansi nchini Tanzania baada ya nguli kwenye muziki huo Mafumu Bila Bombenga kufariki dunia jana Mei 11 mwaka huu wa 2020.
Kifo cha mwanamuziki huyo nguli ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wake wa kupuliza Saxaphone kimeacha majonzi na simanzi kubwa kwa wadau wa muziki huo nchini.
Enzi za uhai wake Mombenga amefanya kazi za muziki katika bendi mbalimbali za muziki wa dansi na hakika amejijengea heshima...

 

11 years ago

Michuzi

ULIPO TUPO NA BENKI YA CRDB HADI HADI VIWANJA VYA SABASABA

Wateja wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kuweka fedha na kutoa katika Mobile Branch lililopo katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Ofisa wa Benki ya CRDB akiwahudumia wateja waliofika katika banda la Benki ya CRDB wakati wa Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
 Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Moses Wamala akimpiga picha mteja  aliyefungua akaunti ya Benki ya CRDB katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa.
 Ofisa wa Benki ya CRDB...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani