Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUSIWABEZE AL SHABAAB; WAMEINGIA KWA WANAFUNZI!

Waziri wa Mambo ya ndani nchini Tanzania, Mh. Mathias Chikawe. Tukio la kijana mwanafunzi Mtanzania, Rashid Charles Mberesero kukamatwa nchini Kenya akihusishwa na shambulizi la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa kilicho kaskazini mwa nchi hiyo jirani, haliwezi kupita kirahisi bila watu binafsi, taasisi za serikali na umma kwa ujumla kufanya tathmini ya kina. Tathmini ya kina ya kujiuliza, ni vipi kijana mdogo kama huyo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AL SHABAAB: WANAFUNZI WAANDAMANA KAMPALA



Wanafunzi waandamana Kampala kupinga ugaidi
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda wamefanya maandamano ya mshikamano na wenzao waliofikiwa na mkasa katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya hivi majuzi.Wanafunzi hawa wamepiga kwata hadi ubalozi wa Kenya nchini Uganda na kutoa rambi rambi zao.
Wanafunzi hao wa wa chuo kikuu cha Makerere mjini Kampala waliandamana wakisindikizwa na bendi moja huku wakipewa ulinzi na polisi kuelekea ubalozi wa Kenya.
Shambulio dhidi ya Chuo cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab:Wanafunzi waandamana Kampala

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere waliandamana mjini Kampala kuonesha umoja na wenzao wakenya waliuawa na magaidi huko Garissa

 

9 years ago

GPL

WAMEINGIA, WAMETOKA

Anne Kilango Malecela. Stori: Oscar Ndauka TAYARI! Moshi mweupe umeanza kuonekana kwenye matokeo ya uchaguzi mkuu wa udiwani, ubunge na urais wa vyama zaidi ya 20 uliofanyika nchini kote, Oktoba 25, mwaka huu, Uwazi linatiririka. Profesa Jumanne Maghembe.  Vyama hivyo kwenye mabano na wagombea wao wa urais ni Anna Mghwira (ACT-Wazalendo), Hashim Rungwe (Umma), John Magufuli (CCM) na Edward Lowassa (Chadema akiungwa mkono na...

 

9 years ago

GPL

RAYUU: WANAUME WANNE WAMEINGIA MITINI


Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. MAYASA MARIWATA NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa, lakini ghafla waliingia mitini na kupeperusha ndoto yake ya kuwa mke wa mtu. Akipiga stori na gazeti hili, muigizaji huyo alisema umri wake unamruhusu kuolewa na anafanya kila njia ikiwa ni pamoja na kutii...

 

9 years ago

GPL

AL-SHABAAB NI NANI: MAREKANI YATANGAZA KUUA KIONGOZI WA AL-SHABAAB

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza juu ya kundi haramu la kigaidi la Al-Shabaab lilivyotuma vitisho vya kutaka kuvamia Majiji ya Dar na Mwanza nchini Tanzania kupitia mkanda wa video ulioonesha mwakilishi wa Kundi la Kigaidi la Dola ya Kiislam la Iraq na Lavent (ISIL), akimtaka Kiongozi wa Al-Shabaab kujiimarisha na kufanya mashambulizi kwenye majiji hayo. SASA ENDELEA… Katika kipindi hicho, polisi wa Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab kero kwa wakenya

Nchi yetu na watu wetu wanashambuliwa" Haya ni maneno ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta---wakati Taifa la Kenya lilipopata taarifa za mauaji mengine ya kikatili kaskazini mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Anayedaiwa mwanachama Al Shabaab apelekwa kwa DCI

MSHITAKIWA anayekabiliwa na kesi ya kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, Mussa Mtweve, amepelekwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kwa ajili ya mahojiano.

 

10 years ago

GPL

MAREKANI YATHIBITISHA KUMUUA KWA KOMBORA MOJAWAPO YA VIONGOZI AL SHABAAB

Kikundi cha wapiganaji wa Somalia cha Al Shaabab. Kikosi cha ulinzi nchini Marekani. Wizara ya ulinzi nchini Marekani imethibitisha kwamba imemuua mojawapo ya viongozi wa kundi la wapiganaji wa Somalia Al Shabaab kupitia kombora. Adan Garaar alituhumiwa kupanga shambulio katika jumba la kibiashara la West Gate nchini Kenya miaka miwili iliyopita. Maafisa nchini Marekani… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani