Tweet bora za Dk Mengi kuandikiwa kitabu
KITABU kitakachokuwa na mawazo yaliyoshinda kwenye shindano la tweet na Mengi kinaandikwa ili kuwapa fursa Watanzania kusoma na kuyatumia mawazo hayo bora ili kuweza kutambua fursa zilizopo zitakazowawezesha kujiajiri.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Mengi aingia fainali tuzo ya mfanyabiashara bora Afrika
MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi ni miongoni mwa wafanyabiashara wanne waliofikia fainali ya kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA), kundi la Afrika Mashariki....
9 years ago
StarTV07 Sep
Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?
Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.
Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Tumekubali kuandikiwa katiba kibabe?
WATANZANIA haijulikani kama ni waoga au wajinga kwa sababu wamekuwa wenye kukubali kila kitu halafu mwishowe wanabaki kunung’unika wakati uwezo wa kuchukua hatua stahiki wanao. Ukisoma sura ya pili ya...
9 years ago
Bongo525 Sep
Drake azungumzia tetesi za kuandikiwa mashairi kwa mara ya kwanza
5 years ago
BBCSwahili23 Feb
Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Mkewe Reginald Mengi adai kuzuiwa kuona kaburi la mumewe Tanzania
10 years ago
VijimamboMKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI
10 years ago
VijimamboBifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...
11 years ago
TheCitizen18 Mar
What Tanzanians tweet, why they do so at night