Twiga dume hatunzi watoto
KARIBU katika sehemu ya pili ya simulizi ya twiga. Kama unakumbuka, simulizi ya mnyama huyu ilitokana na tukio la kuuawa kwa twiga kijana katika bustani moja ya wanyama huko jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
Huu ni mwaka dume!
Na Rashid Abdallah Ndio! Ni kweli! Halinashaka kabisa! Kuwa CCM na raisi Jakaya na watangulizi wake wameshindwa kabisa kuikwamua Tanzania. Kama ni jahazi basi tungesema jahazi la CCM limelala upande mmoja na wala si ajabu kuwa […]
The post Huu ni mwaka dume! appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPL
Simba dume lao
Wachezaji wa Simba wakishangilia goli. Daudi Julian na Musa Mateja, Morogoro  KOCHA wa Simba, Goran Kopunovic, jana aliamua kuonyesha jeuri kwa mashabiki wa Yanga baada ya kuwaambia ‘tulieni-tulieni’ kisha kuwaonyesha ishara ya kuwataka wakae kimya, kauli ambayo aliitoa wakati timu yake ilipopata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Moro. Simba imeifunga Polisi Moro katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara kwenye...
10 years ago
Vijimambo11 Aug
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?

NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi.
Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii itachota baadhi ya vipengele kutoka kwenye vitabu vya dini ili...
10 years ago
GPL
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME-2
Karibuni tena Jumanne ya leo ambapo tunakutana kuzidi kupeana elimu mbalimbali kuhusu maisha na mapenzi. Mada yetu inasema; wanaume wana haki na mfumo dume?’ Mada hii inatoka wiki iliyopita ambapo tuliishia pale wanaume wanagombana na wake zao, kwa hasira wanawamwagia maji ya moto mpaka kuwaunguza vibaya sana. Nikasema huo si mfumo dume. Ni unyama uliopitiliza. Na nikasema hata mimi napinga vikali. Wiki hii ninaendelea...
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Saratani ya tezi dume ni hatari
 Pamoja na maelezo ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa juzi juu ya ugonjwa wa saratani ya tezi dume mara baada ya kurejea nchini kutoka Marekani alikotibiwa, maswali kuhusu ugonjwa huo bado ni mengi na hivyo kuhitaji ufafanuzi.
11 years ago
GPL
DUME LASUTWA KISA, UMBEYA
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya WERAA! Watu weweee! Dume lililofahamika kwa jina moja la Lusajo au Sajo anayefanya kazi maeneo ya Kijitonyama, Dar jirani na duka la mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’ amejikuta akitaharuki na kuaibika baada ya kusutwa laivu katikati ya wanawake huku akilishwa keki na kufunguliwa mvinyo kisa umbeya, Ijumaa Wikienda limeshuhudia tukio zima. Keki ya msuto aliyoandaliwa Bw. Sajo. ...
10 years ago
Michuzi
mwandani wa saratani ya tezi dume

10 years ago
Mwananchi30 Nov
Nilikuwa na saratani ya tezi dume-JK
Rais Jakaya Kikwete amerejea nchini kutoka kwenye matibabu na kuwaeleza Watanzania kuwa alikuwa akiiumwa saratani ya tezi dume.
10 years ago
GPL
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?
NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi. Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-May-2025 in Tanzania